Mange Kimambi ni Spika ya Redio tu

Mange Kimambi ni Spika ya Redio tu

mi na akili yangu timamu ni lazima nipate kusikia kila analoliongea na baada ya hapo kufatilia ukweli wa jambo then na comfirm. lakn sio kukuskia wew ambae unaongea kwa historia, maisha yanabadilika bna, we mtoa thread vp?

Timu Nzima Ya Mlimani City Iko Kazini, Kumtetea Bosi Wao!! Kila Mtandao Wamejaza Utetezi Na Kashfa Kwa Aliyemsema Bosi!!!! Hivyo Sio Ajabu Hata Kidogo, Hii Nguvu Kubwa Inayotumika Kumtetea Makamba, Imeonyesha Ni Jinsi Gani Kuna Hoja Ya Kujadili Na Kuupata Ukweli!! INALETA Mashaka Mno Mbona Nguvu Kubwa Mno Hivi!!!?? Kuna Kaukweli Kama Kamejificha Hivi!!? Maana Juzi Tu Tuliona Na Kusikia Makamba Akirusha Makombora Msoga, Sasa Makamanda Wameanza Kujibu Mashambulizi Kimtindo!!!! Ni Hisia Tu!!

Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.

Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.

Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.

Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?

Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.

Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.

Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
* UMOJA WA VIJANA UVCCM WAMTAKA JANUARY MAKAMBA AJISAFISHE HARAKA IWEZEKANAVYO...

* UMOJA HUO KUANDAA MAANDAMANO MAKUBWA SANA KWENDA IKULU, KUMUOMBA RAIS MAGUFULI AMFUKUZE KAZI

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi kimemtaka waziri ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano kutoka hadharani na kujisafisha kwa tuhuma za kulifanyia udalali rasilimali za nchi

Tamko lililotolewa na ofisi ya Katibu Mkuu likiwa ni maazimio ya kamati ya utekelezaji limemtaka Makamba kujisafisha mwenyewe kabla ya kuandaa maandamano kwenda Ikulu kumuomba Rais Magufuli amfukuze kazi

"Awamu ya tano imebeba viongozi safi, na kwa wale wasio wasafi lazima tumsaidie Rais kutumbua majipu. Ndio mana katika hili lazima tumsaidie Rais, na kukisaidia chama chetu CCM ili wapinzani wasipate agenda"...

Hivyo tunatoa siku 4 awe amejisafisha kwa njia yoyote ile. Kinyume na hilo basi UVCCM itaandaa maandamano makubwa ya kwenda kumuomba Rais Magufuli alifanyie kazi suala hilo ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi...

Vile vile tunampongeza sana sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya mpaka sasa. Wananchi wengi wanakubali kazi yake, na amekuwa kinara wa kuongoza mabadiliko ya kweli.... Umoja wetu utasimama na yeye daima... Na pia jumuiya hiyo imempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya Africa Mashariki...

Kwahiyo kwavile sijachangi, au nina miezi saba, ai ni thread ya kwanza siwezi kuongea point, wewe uliyejiunga mwanzo heri yako, ila kama kuna watu na wewe walikupita basi kaa tulia jibu hoja acha kuattack personality. Ukiona unamshambulia mtu na si hoja basi wewe umekwisha.
Na ile Id, nyingine ya Mushi ni yako?

Mleta mada umesahau kama adui wa adui ni rafiki? Hata waliokuwa wakimwita Slaa muongo walikuja kumshangilia.
Kikubwa ni kutumbuliwa kwa jipu la familia ya Makamba, hayo mengine yote wala hayana maana kwa sasa.

Ova

Mange Kimambi anajadiliwa na Wasomi na Ma Great thinker!

sasa kwani kuchangia kila siku ni lazima nae Ana uhuru WA kuandika ajisikiavyo,so habari za kujiunga sijui Lini sio habari maana hulipwi ukijiunga
Gilda Mushi na @ Dinazarde ukiwa makini utaona jinsi leo Gilda alivyokuwa tofauti!
Trend yeyote ya mtu ikibadilika lazima watu tujiulize kulikoni!
We Gilda jichunguze mwenyewe utaona leo haupo kama kawaida yako!
Mshangao wangu si juu ya upya wako JF ni tabia yako ya leo ni tofauti na record zako za kawaida!
So mshangao wangu vinanifanya nijiulize huyo mdada unayemuita chizi unachuki naye gani, au wewe ni ukoo huo wa walioshutumiwa!?

Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.

Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.

Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.

Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?

Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.

Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.

Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
Nadhani January katika utetezi wake inaonesha huyo "chizi" unayetaka tusimuamini anazungumza ukweli!
Jamaa anaonesha kukubali kuwa ni kweli Dada yake alikuwa anapokea pesa kwa watu na ndio wanadaiana!
At least "chizi" ana make sense!
Ngoja tusubiri Magufuli naye asikilize, na kwa kuwa ana dola na vyombo vya uchunguzi tutasubiria majibu yake!

Back
Top Bottom