Mange Kimambi ni Spika ya Redio tu

Mange Kimambi ni Spika ya Redio tu

Halafu mbona majina ya kichaga ndo yanawatetea hao akina makamba na kumponda Mange? au ndo familia ya kina Hoyce Temu ? maana aliwaanika uchi kabisa huko insta
 
Hao ndo waTZ, hawana rafiki wa kweli zaidi ya interests tu! Thats why ukiona mtu anasifiwa na waTZ wengi ujue hamna kitu, ila msema kweli/mchapa kazi atasifiwa na wachache na kupondwa na wengi
 
Mange najua unasoma, hujarudi tu huko ulikoenda kujirusha?
 
Back
Top Bottom