Hapo ukimwambia athibishe kivipi JM anahusika hawezimange sijui kama hatafungwa
Mada imewekwa hapa ijadiliweMtoa mada acha tusome yanayojiri kwani mwisho penye ukweli uongo hujitenga.
Mara nyingi vichaa na makahaba huwa wanasema kweli. Si vizuri kupuuza maneno ya kahaba kivile.Mage ni kahaba tena asiyejielewa
* UMOJA WA VIJANA UVCCM WAMTAKA JANUARY MAKAMBA AJISAFISHE HARAKA IWEZEKANAVYO...

* UMOJA HUO KUANDAA MAANDAMANO MAKUBWA SANA KWENDA IKULU, KUMUOMBA RAIS MAGUFULI AMFUKUZE KAZI

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi kimemtaka waziri ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano kutoka hadharani na kujisafisha kwa tuhuma za kulifanyia udalali rasilimali za nchi

Tamko lililotolewa na ofisi ya Katibu Mkuu likiwa ni maazimio ya kamati ya utekelezaji limemtaka Makamba kujisafisha mwenyewe kabla ya kuandaa maandamano kwenda Ikulu kumuomba Rais Magufuli amfukuze kazi

"Awamu ya tano imebeba viongozi safi, na kwa wale wasio wasafi lazima tumsaidie Rais kutumbua majipu. Ndio mana katika hili lazima tumsaidie Rais, na kukisaidia chama chetu CCM ili wapinzani wasipate agenda"...

Hivyo tunatoa siku 4 awe amejisafisha kwa njia yoyote ile. Kinyume na hilo basi UVCCM itaandaa maandamano makubwa ya kwenda kumuomba Rais Magufuli alifanyie kazi suala hilo ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi...

Vile vile tunampongeza sana sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya mpaka sasa. Wananchi wengi wanakubali kazi yake, na amekuwa kinara wa kuongoza mabadiliko ya kweli.... Umoja wetu utasimama na yeye daima... Na pia jumuiya hiyo imempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya Africa Mashariki...Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.
Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.
Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.
Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?
Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.
Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.
Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
Kana Id kama ishirini humu, basi ni full kurusha miguu tu.Ndo umejua leo?? Wakati wa kampeni ulikuwa hujui?? Hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli
kweli kabisa, aende kule man to manKamwambie Instagram kama wewe mwanaume...
Tehehehehehehehehehehehheehheehheehheheeh zis time mtampenda tu. Na hivi kagusa ugali wa bossHuyu mange sijawai kumpenda ni mjinga sana
Na ile Id, nyingine ya Mushi ni yako?Kwahiyo kwavile sijachangi, au nina miezi saba, ai ni thread ya kwanza siwezi kuongea point, wewe uliyejiunga mwanzo heri yako, ila kama kuna watu na wewe walikupita basi kaa tulia jibu hoja acha kuattack personality. Ukiona unamshambulia mtu na si hoja basi wewe umekwisha.
Hata mimba mkuu,hutokea ilipoingiliaNimeipenda... mwiba unatokea ulipoingilia
Hahaa watanzania kwa maneno ni shidaaHata mimba mkuu,hutokea ilipoingilia
Makamba tulia ndugu yangu...mbona una haribuMi ninauliza nyie mliomtukana wakati ule nini kimebadilika leo unamuamini?
Gilda Mushi na @ Dinazarde ukiwa makini utaona jinsi leo Gilda alivyokuwa tofauti!sasa kwani kuchangia kila siku ni lazima nae Ana uhuru WA kuandika ajisikiavyo,so habari za kujiunga sijui Lini sio habari maana hulipwi ukijiunga
Nadhani January katika utetezi wake inaonesha huyo "chizi" unayetaka tusimuamini anazungumza ukweli!Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.