Halafu mbona majina ya kichaga ndo yanawatetea hao akina makamba na kumponda Mange? au ndo familia ya kina Hoyce Temu ? maana aliwaanika uchi kabisa huko insta
Hao ndo waTZ, hawana rafiki wa kweli zaidi ya interests tu! Thats why ukiona mtu anasifiwa na waTZ wengi ujue hamna kitu, ila msema kweli/mchapa kazi atasifiwa na wachache na kupondwa na wengi