Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

Humuelewi Mange hadi leo? Anapost habari moja serious inayofuata anacheza na Watoto wake. Ila ana ujasiri wa Ku expose nondo anazopewa. Amekua MDOMO WA MABUBU NA WAOGA
 
Unateswa na majigambo ya kidada! Una tatizo mkuu, yule ni mwanamke na yale niajihamno ya kike hata hivyo anawakljoke haters wake na si vingine. Na weww umechukia utadhan ni mdada. Halafu unasema amemchafua BASHITE. hahaha bashite anaambiwa ukweli sio anachafuliwa km kuchafua bashite ndo kachafua watu sasa km hujui. Acha mapenzi ya u fa fa fa fa simamia ukweli.
mkuu Baba Adele huyu warumi ni binti sio mwanaume kama unavyodhani.basi tu ule wivu wa kikekike,si unawajua tena wanawake
 
Warumi ni mleta ubuyu na udaku Kwa hivyo sishangai ni kazi yake humu jukwaani
 
We mbwa yani huyo mange akiwaambia mjirekodi mnajitia madole mumtumie insta mnafanya, sikiliza, unikome bwege wewe, siongei na watu wasiojielewa Mimi, *****
Kumbe wewe na mange hamna toauti! Si na habari mie!
 
Simuelewag mie huyo bibi 24hrs yupo online wanae sijui wanalishwa na nani na kama anamume basi shughuli anayo
 
Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
8c073e910b923115f9dd82c322fc414b.jpg
Ni ujinga kukasirikia na kujaribu kupambana na "waliopinda" aka "vichaaa"....ukibisha utapitiwa na usemi " argue with a fool and the public will fail to see the difference between..."
 
Nimesona post moja inayosema kwa sasa yuko chimi ya polisi kakamatwa huko morogoro baada ya kumaliza kazi yake mwenye taalifa zaidi atujuze tafadhari
 
Back
Top Bottom