Unabadili story ya elimu yako kila siku.Sisomi chochote na sijaenda shule
mkuu Baba Adele huyu warumi ni binti sio mwanaume kama unavyodhani.basi tu ule wivu wa kikekike,si unawajua tena wanawakeUnateswa na majigambo ya kidada! Una tatizo mkuu, yule ni mwanamke na yale niajihamno ya kike hata hivyo anawakljoke haters wake na si vingine. Na weww umechukia utadhan ni mdada. Halafu unasema amemchafua BASHITE. hahaha bashite anaambiwa ukweli sio anachafuliwa km kuchafua bashite ndo kachafua watu sasa km hujui. Acha mapenzi ya u fa fa fa fa simamia ukweli.
Kiki ni pikipiki zinazozalishwa huko Cambodia
Kumbe wewe na mange hamna toauti! Si na habari mie!We mbwa yani huyo mange akiwaambia mjirekodi mnajitia madole mumtumie insta mnafanya, sikiliza, unikome bwege wewe, siongei na watu wasiojielewa Mimi, *****
Analishwa na Serikali ya Marekani na pesa za Child Support kutoka kwa mume wake.Simuelewag mie huyo bibi 24hrs yupo online wanae sijui wanalishwa na nani na kama anamume basi shughuli anayo
Ohoooo!!!Hiyo socialogy unayosoma ndiyo uko mwaka wa kwanza?
Ni ujinga kukasirikia na kujaribu kupambana na "waliopinda" aka "vichaaa"....ukibisha utapitiwa na usemi " argue with a fool and the public will fail to see the difference between..."Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
Ktk hao 1M mimi sipo, [HASHTAG]#sipendagiujinga.[/HASHTAG]1 M followers... Alichokuwa anakitaka amekipata