Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
ni nani huyoMange hanaga rafiki wa kudumu, hata 2015 alikuwa supporter mzuri wa CCM, mwanachama mzuri tuu, ila mda huu kawachenjia ndicho alichowafanyia marafiki zake wengi kama Mwamvita Makamba and the like, ashawahi kumchamba mtu mpaka akajiua [emoji38] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
What do you expect?Unajadili kuvuka daraja wakati hujalifikia?
Kweli tena maana wengine ni mwendo wa kuangalia series tu sasa ukishtuka unakuta taarifa ya habari ishapita unaona fresh tu unaingia kwa mange kuchungulia unajuwa nini kinaendelea nchiniSio mchezo,huyu mwanadada anajulikana mpk mitaani,siku hizi hatufungui tv kuangalia habari,tunaingia kwa mange tu,tunajua habari za nchi.
Hatumuhitaji au haumuhitaji semea nafsi yako unaongea hivyo wakati siku haipiti ushaangalia kaandika nini,acha kuidhulumu nafsi yako ndugu.Huyu mdada mpotoshaji sanah,, akae huko huko US hatumhitaji Tanzania,, just kufwata mambo kwa ushabiki ni shida sanah,, na huyu mdada ni a living proof kuwa watatnzania tuna ushabiki wa vitu vya ajabu sanah wakati mwingine
Nenda kwenye ukurasa wake utaona kaweka na!ba yake ya whassap au mtumie msj inbox yake ila tatizo watu wengi wanamtumia unaweza kuta msj yako ya 3000 mpaka aione kazi.Naombeni jinsi yakuwasliana na Mange Kimambi
Mwongo Mkubwa ukute yy ndo shabiki take Mkubwa!Hatumuhitaji au haumuhitaji semea nafsi yako unaongea hivyo wakati siku haipiti ushaangalia kaandika nini,acha kuidhulumu nafsi yako ndugu.
True kila time na chungulia kama kunaubuyu mpya
Daaaah,yan mim ndio nimetoka kuchungulia kwa mange saiv,yaani ni kama taarifa ya habari vile,tupate habari za nchi
Sijawah pita kwa page ya yule mdada baada ya kuona ni kiasi gani ni kigeu geu na mpotoshati,, nakupa muda utaacha piaHatumuhitaji au haumuhitaji semea nafsi yako unaongea hivyo wakati siku haipiti ushaangalia kaandika nini,acha kuidhulumu nafsi yako ndugu.