Msukule kafie makaburin mbwa weweKama we ni type ya Bashite huwezi mwelewa Mange, endelea tu kuchukua post zake na kuleta hapa, ni wasio na vyeti fake tu ndio watamuelewa
Mwingine huu hapa ushahidi wa bashite anawataja watu wanatumia madawa huku anavuta magari yao haya yote yametolewa na huyo mange,tulia nahisi hapa utajifanya hujuwi kusomaHAUKUWA unaongea na mimi,ila mimi nimeku quote kwa vile unaonekana kutaka watu waongee vile unavyotaka wewe,kwahiyo mimi ni mwingine kabisa na ninataka ujibu hoja zangu nilizokupa hapo juu na sio blah za kujifanya hujui ulikuwa unajibishana na nani ???
Hebu andika kama mtu "uliyepitia shuleni",hiki ulichokiweka hapa ni nini na kinamuhusu nani kwa tatizo gani ???Ushahidi wa kwanza huu hapa kuwa waziri wako wa ulinzi ni mfuasi wa post za mange tulia nakuletea mwingine soonView attachment 494292
Anawaweka watu kwenye list ya madwa kumbe uongo kisha anawapiga magari yaoHAUKUWA unaongea na mimi,ila mimi nimeku quote kwa vile unaonekana kutaka watu waongee vile unavyotaka wewe,kwahiyo mimi ni mwingine kabisa na ninataka ujibu hoja zangu nilizokupa hapo juu na sio blah za kujifanya hujui ulikuwa unajibishana na nani ???
I am done rengo lako ni kubishana siyo kupewa ushahidi mtu aliyejiandaa kukubishia hata umuletee ushahidi gani bado atabisha tu so tufurahie maisha tu,diamond katowa remix ya sikai kaa kimya inaitwa sikai kimya .Hebu andika kama mtu "uliyepitia shuleni",hiki ulichokiweka hapa ni nini na kinamuhusu nani kwa tatizo gani ???
Umemuelewa lakini???Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
Ni kiki tuNgachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
Unafikiri Tanzania nchi ya babako nyambafHuyu mdada mpotoshaji sanah,, akae huko huko US hatumhitaji Tanzania,, just kufwata mambo kwa ushabiki ni shida sanah,, na huyu mdada ni a living proof kuwa watatnzania tuna ushabiki wa vitu vya ajabu sanah wakati mwingine
Mi najua alianza kitambo baada ya bunge kuwekwa gizani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ohooooo!!!
Watafute bongo movie, watakuelezea ilipotoka.Hivi hii"fa fa fa fa " ilitokeaje sijaipata ilipoibukia
Mdau anieleze kidogo
MSUKULE WA MANGE KAZINI. UKIMALIZA AKUPE MSHAHARA WA PUMBA NA MAJI
Msukule wa Bashite kazini ,ukimaliza akakupunguzie msambwanda maana sio wa nchi hii
Kama msambwanda wa boss wako pale kifuani daah kajazia bana hata ajikondeshe vipi kifua hakidanganyi