Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

HAUKUWA unaongea na mimi,ila mimi nimeku quote kwa vile unaonekana kutaka watu waongee vile unavyotaka wewe,kwahiyo mimi ni mwingine kabisa na ninataka ujibu hoja zangu nilizokupa hapo juu na sio blah za kujifanya hujui ulikuwa unajibishana na nani ???
Mwingine huu hapa ushahidi wa bashite anawataja watu wanatumia madawa huku anavuta magari yao haya yote yametolewa na huyo mange,tulia nahisi hapa utajifanya hujuwi kusoma
Screenshot_2017-03-22-14-35-17.png
 
HAUKUWA unaongea na mimi,ila mimi nimeku quote kwa vile unaonekana kutaka watu waongee vile unavyotaka wewe,kwahiyo mimi ni mwingine kabisa na ninataka ujibu hoja zangu nilizokupa hapo juu na sio blah za kujifanya hujui ulikuwa unajibishana na nani ???
Anawaweka watu kwenye list ya madwa kumbe uongo kisha anawapiga magari yao
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-22-14-34-43.png
    Screenshot_2017-03-22-14-34-43.png
    123.9 KB · Views: 53
Hebu andika kama mtu "uliyepitia shuleni",hiki ulichokiweka hapa ni nini na kinamuhusu nani kwa tatizo gani ???
I am done rengo lako ni kubishana siyo kupewa ushahidi mtu aliyejiandaa kukubishia hata umuletee ushahidi gani bado atabisha tu so tufurahie maisha tu,diamond katowa remix ya sikai kaa kimya inaitwa sikai kimya .
 
binamu na weeee nawe!
hii ni ironic writing!
SIKU HIZI HII KOZI YA UMBEA NA USHILAWADU UNAANZA KUFELI!ntakuanzishia post nitafte kiki !oh
 
Hivi hii"fa fa fa fa " ilitokeaje sijaipata ilipoibukia

Mdau anieleze kidogo
 
Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
8c073e910b923115f9dd82c322fc414b.jpg
Umemuelewa lakini???
 
Maria Sarungi anatumia pesa ya babaake, huyo Mpuuzi aache kumtafuta Watu asiowafahamu!
 
Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
8c073e910b923115f9dd82c322fc414b.jpg
Ni kiki tu
 
Huyu mdada mpotoshaji sanah,, akae huko huko US hatumhitaji Tanzania,, just kufwata mambo kwa ushabiki ni shida sanah,, na huyu mdada ni a living proof kuwa watatnzania tuna ushabiki wa vitu vya ajabu sanah wakati mwingine
Unafikiri Tanzania nchi ya babako nyambaf
Mi najua alianza kitambo baada ya bunge kuwekwa gizani
 
Kama msambwanda wa boss wako pale kifuani daah kajazia bana hata ajikondeshe vipi kifua hakidanganyi
Msukule wa Bashite kazini ,ukimaliza akakupunguzie msambwanda maana sio wa nchi hii
 
Kama msambwanda wa boss wako pale kifuani daah kajazia bana hata ajikondeshe vipi kifua hakidanganyi

Ahhhhhh acha kabisa mkuu, yale makitu dizaini ya isha mashauzi tunayapenda wanaume, sasa sijui na nyinyi wanawake manapenda wanaume wenye misambwanda kama Bashite?
 
Back
Top Bottom