Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Please fuatilia hii utupe second release tumjue huyo muuaji
Matawi yatapukutishwa kwanza kabla mti mkubwa haujaangushwa!!!pastor denis huko YouTube!Wakianza kutekwa na kuuliwa viongozi wa CCM labda heshima itarudi
Hii inanikumbusha urusi ya enzi hizo.If it's true hazina .... Already kinachofuata ni ujambazi pekee ili pesa ipatikane ya ku run mambo!
Ni wakati was matajiri kuajiri bodyguards wa kutosha!
Hii ya lini?
Mange amesharudi kwa social media?
www.instagram.com
Mbona yuko X (Twitter) muda wote? Account yake ya X haikufungwa.Hii ya lini?
Mange amesharudi kwa social media?
Usitudanganye mkuuHii inanikumbusha urusi ya enzi hizo.
Wahuni(matajiri wenzio) wakitaka mali/kampuni yako.
Wanakuteka, kisha wanakusainisha mkataba kwamba umewauzia kampuni.
Halafu baada ya hapo, unaokotwa kama ndugu yetu mfanyabiashara.
Hawa kina raman ibrahimovic wametajirika nyakati hizo.
Mabaunsa na walinzi binafsi ilikua ni sekta inayolipa saba enzi hizo.
BTW Pole kwa familia.
Duh ndio nchi ilipofikia, serikali ndio majambazi yenyewe,wananchi wataamua nchi gani wanataka, unyonge uisheStori kamili hii hapa..
View attachment 3546298
Hakua jambazi mkuu, alikua baunsa.Usitudanganye mkuu
Abrahamovic hakuwa jambazi.