Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Paula ndiyo nani hivi wakuu??
Kuna binti anatumia jina la mama yake badala ya jina la Baba yake.

Ni binti wa P Funk majani alizaa na fuska mmoja anaitwa Kajala.

Sasa mtoto anajiita sijui anaitwa Paula kajala kizazi cha nyoka, mama anapigwa pipe chumba hichi, chumba cha pili binti naye ananyonya koni ya mtu.

Mungu atuhurumie tu, kwa uwezo wetu hatutoweza ya dunia hii.
 
Duuuuh hatari sana
 
Nmecheka japo inasikitisha
 
Anatafutiwa mzungu
 
Hivi nikweli yanenwayo humu au ni utani wa mtu na mtu!!
 
Matola umepinda Hahaha Hahaha

Ova
 
Ni amini mimi. Hiyo PR ya Mange app. Paula anasoma chuo. Hiwezi kupata visa Uturuki bila confirmation ya chuo unakoenda
We unaumwa sana inafanyika sana hiyo and watu wanapata Visa Kwa mgongo wa kusoma wakifika wanakaa semester kadhaa wanabadili status ya visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…