Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Alikuaga anajiona pizza fahima [emoji23][emoji23][emoji23] mashauzi aaagrr, ila namsifu kajitahidi kuwa strong mbele ya dunia hajaonesha stress angekua ni mwingine hadi angechakaa, nadhani sahivi adabu itakua A+
[emoji3][emoji16][emoji16]adabu A+eehhh!!!mmecheka
 
[emoji3][emoji3]huruma tena?muache apambane na wanaume wa Wasafi ndo atajua hajui!
Leo insta fahyma yuko na mwanawe anamuuliza tuko na nani,usiku huoo kanajibu 'na baba'...aliambiwa Paula akawa anaona watu wanamuonea wivu
Co-parenting jamani 😂😂😂😂
 
Hilo kumbato umelicheki lilivojaa hisia??? Mtu na kengele zake kajilaza kwa mwanaume mwenzie...anajiliza.
Mambo ya aibu, kakolea mpaka anamlalia mwanaume mwenzie begani hapo katikati ya hadhara je ikiwa faragha inakuwaje.
Gays are worse than pigs - nanukuu kauli ya late Robert Mugabe.
 
Mambo ya aibu, kakolea mpaka anamlalia mwanaume mwenzie begani hapo katikati ya hadhara je ikiwa faragha inakuwaje.
Gays are worse than pigs - nanukuu kauli ya late Robert Mugabe.
Si ndio hapo kulikua na haja gani ya kukumbatiana hivo hadharani, anyway ndio "penzi kikohozi"
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
van boy,Chui anaenda kuwa ndondocha soon kama boss wake Simba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mix ya madawa mpaka awe ndondocha, Mtanga anapika ya kwake huku kwa student Kajala ndiyo anasimamia zoezi ili ada iendelee kulipwa.
Hapo kweli lazima ageuzwe ndondocha.
 
Na atabeba mimba ya pili siku si nyingi...Paula apambane na shule tu
Kweli kuipende nusu ya uchizi hawa wenzetu wameumbwa na roho za paka aisee mimi siwezi Usaliti niendelee na mahusiano hata nipende kiasi gani
 
Kweli kuipende nusu ya uchizi hawa wenzetu wameumbwa na roho za paka aisee mimi siwezi Usaliti niendelee na mahusiano hata nipende kiasi gani
Hujapenda wewee!ukipenda hauchi!
Sasa fahyma bila ray zile bata za wasafi unafikiri anaanzia wapi?mbwembwe za kuvaa million 3!!status mjini,mabodigadi!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mix ya madawa mpaka awe ndondocha, Mtanga anapika ya kwake huku kwa student Kajala ndiyo anasimamia zoezi ili ada iendelee kulipwa.
Hapo kweli lazima ageuzwe ndondocha.
Watajuana wenyewe [emoji2][emoji1]acha warogwe maana wajinga sanaa!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hujapenda wewee!ukipenda hauchi!
Sasa fahyma bila ray zile bata za wasafi unafikiri anaanzia wapi?mbwembwe za kuvaa million 3!!status mjini,mabodigadi!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Labla sijawahi kupenda ila USALITI kamwe hata ikitokea nimependa mahaba niuwe aisee sitaweza kuendelea hata Mwanaume awe billionaire nitamuacha tu na sitageuka nyuma tena
 
Back
Top Bottom