Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Haya haya haya haya..... Pamekucha huku.


Screenshot_20211112-235345.jpg
 
Jamani Kuna vitu vingine mtu unajitakia kusemwa vibaya mfano hakuna mwenye ushaidi kuhusu tuhuma za kulalwa kwa ndugu yetu b ..kumi na mbili ..ila naye life style inachangia watu kumsema vibaya...chanza Cha yeye kusemwa vibaya ni kuwa umri umekwenda bila kuoa...nimeanza kumsikiliza tangu mwaka 2003 nikiwa darasa la tano..mpaka leo ni mtu mwenye 40+ Ana kila kitu nyumba ..gari ..kazi mzuri Cha ajabu anamke Wala mtoto..sijui wazazi wake wanajisikiaje..hii tofauti na tamaduni zetu ..hata professa Jay alipochelewa kuoa alizushiwa kuwa na ngoma...so namshauri ndugu dazani aoe na akumbuke yy ni mtu mzima aache kuvaa vinguo vya kubana...na abadiri mfumo wa maisha.

 
Ina maana hakuna Herufi za Kituruki za jina PAULA PETER ....ngoja nisubiri wajuvi wa mambo ya International Students waje wanisaidie inawezekana International laws haziruhusu jina la mwanafunz wa nje liandikwe kwa lugha tofauti 😎😎😎
Kwahiyo John wa Marekani akija kusoma bongo ataitwa Yohana?
 
Uchungu wa ex sijui kweli, sijui umbea tu...
Hadi nmejikuta nammiss warumi [emoji17]

Mama G sijui anajisikiaje na hizi habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila dea wee mpana lol.
 
Kwenye msiba wa jasiri muongoza njia walikuwa wanakumbatiana kabisa![emoji848]

Pale ndo nilianza kuweka question mark!

Ndo maana kistuli hanaga raha kabisa mweeh!
Tafuta pesa wewe
 
Back
Top Bottom