Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Jamani Kuna vitu vingine mtu unajitakia kusemwa vibaya mfano hakuna mwenye ushaidi kuhusu tuhuma za kulalwa kwa ndugu yetu b ..kumi na mbili ..ila naye life style inachangia watu kumsema vibaya...chanza Cha yeye kusemwa vibaya ni kuwa umri umekwenda bila kuoa...nimeanza kumsikiliza tangu mwaka 2003 nikiwa darasa la tano..mpaka leo ni mtu mwenye 40+ Ana kila kitu nyumba ..gari ..kazi mzuri Cha ajabu anamke Wala mtoto..sijui wazazi wake wanajisikiaje..hii tofauti na tamaduni zetu ..hata professa Jay alipochelewa kuoa alizushiwa kuwa na ngoma...so namshauri ndugu dazani aoe na akumbuke yy ni mtu mzima aache kuvaa vinguo vya kubana...na abadiri mfumo wa maisha.
 
Hamna uhusiano kati ya kuchelewa kuoa na ushoga,kuna watu kibao na wafahamu 50+ hawana ndoa na marijali.
 
Jamani Kuna vitu vingine mtu unajitakia kusemwa vibaya mfano hakuna mwenye ushaidi kuhusu tuhuma za kulalwa kwa ndugu yetu b ..kumi na mbili ..ila naye life style inachangia watu kumsema vibaya...chanza Cha yeye kusemwa vibaya ni kuwa umri umekwenda bila kuoa...nimeanza kumsikiliza tangu mwaka 2003 nikiwa darasa la tano..mpaka leo ni mtu mwenye 40+ Ana kila kitu nyumba ..gari ..kazi mzuri Cha ajabu anamke Wala mtoto..sijui wazazi wake wanajisikiaje..hii tofauti na tamaduni zetu ..hata professa Jay alipochelewa kuoa alizushiwa kuwa na ngoma...so namshauri ndugu dazani aoe na akumbuke yy ni mtu mzima aache kuvaa vinguo vya kubana...na abadiri mfumo wa maisha.
Kuowa siyo lazima, tena mtu akiniomba ushauri naweza kumshauri kama akiweza asioe kabisa.

Kwahiyo tuhuma za ushoga mtafute evidence nyingine, hiyo ya kuwa senior bachelor haina mashiko.
 
Jamani Kuna vitu vingine mtu unajitakia kusemwa vibaya mfano hakuna mwenye ushaidi kuhusu tuhuma za kulalwa kwa ndugu yetu b ..kumi na mbili ..ila naye life style inachangia watu kumsema vibaya...chanza Cha yeye kusemwa vibaya ni kuwa umri umekwenda bila kuoa...nimeanza kumsikiliza tangu mwaka 2003 nikiwa darasa la tano..mpaka leo ni mtu mwenye 40+ Ana kila kitu nyumba ..gari ..kazi mzuri Cha ajabu anamke Wala mtoto..sijui wazazi wake wanajisikiaje..hii tofauti na tamaduni zetu ..hata professa Jay alipochelewa kuoa alizushiwa kuwa na ngoma...so namshauri ndugu dazani aoe na akumbuke yy ni mtu mzima aache kuvaa vinguo vya kubana...na abadiri mfumo wa maisha.
Mengine sijui ila kuoa siyo lazima hasa kwa kizazi hiki mambo yamebadilika.
 
Lakini hiyo picha ni editing picha yenyewe ni hii

View attachment 2004320
Huu ndiyo ushahidi niuaminio, I can't try to go against the solid proof like this.
You're right on this one.
IMG_20211109_170607.jpg
IMG_20211109_170539.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii picha namtetea Mange, hivi huonj kabisa hii picha ni tofauti na dressing style ya wanafunzi wengine?ulivyo kichwa mkate huoni wengine wote wana barakoa isipokua huyo mtoto wa Yezebeli?
Angalia post namba 190 umeweka wazi kabisa aisee hao wapuuzi wameedit
 
Kwenye msiba wa jasiri muongoza njia walikuwa wanakumbatiana kabisa![emoji848]

Pale ndo nilianza kuweka question mark!

Ndo maana kistuli hanaga raha kabisa mweeh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inasemekana bi mfupi ndo kaingilia mahusiano ya wenzie. Toka zile Enzi wakaenda China kufanya shopping ya vitu vya harusi na ndoa haikufungwa nilisikia sababu alikua b12 hakutaka jambo litokee na water-zo alipambana sana baby wake b12 akumbalie afunge ndoa.

Sema ni aibu jamani watu wanajua mumeo anakula mnduku wa mwanaume mwenzie bora ingekua anakula wadada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh sana lol
 
Back
Top Bottom