Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
kiss my assTuko naye hapa anasomea Degree ya Medicine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiss my assTuko naye hapa anasomea Degree ya Medicine!
Wamemuingiza chaka na kajaa mzima mzima[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mange muongo muongo kuna muda informer wake wanamjaza uongo, sema ndiyo hivyo akishasema watu wanaamini.
Kajaa haswa hiyo app yake ataweka taarifa za uongo zionekane exclusive atachafua watu sanaWamemuingiza chaka na kajaa mzima mzima[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Library reveals.Nimeamini nyani haoni kundule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Proof hii hapa kwenye uzi wako[emoji116][emoji116][emoji116]
Bifu kati ya Kondeboy na Diamond limeua mziki wetu BASATA ingilieni kati
Huu ujinga wa bifu la kweli ao kama la kutengeneza la kondeboy na domo limeuwa mziki wetu ..vi mbosso rayvanny alikiba lavalava vyote tu vimepotezwa kwenye ramani ya mzikii kisaa harmonize na domo Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Binti yuko darasani.Kajaa haswa hiyo app yake ataweka taarifa za uongo zionekane exclusive atachafua watu sana
HahahaahImagine this!
Andunje chenyewe full mashauzi kama nini, ila deep down ukikaangalia unakaona kabisa hakana furaha kabisa!
Huwa nakumbana nako occasion mbalimbali kama misiba, harusi ukikakuta live huwa hakana amani wala raha full stress...ngoja aingie insta sasa[emoji854]
Social media kuna fake life sana [emoji1787]kila mtu katusuaImagine this!
Andunje chenyewe full mashauzi kama nini, ila deep down ukikaangalia unakaona kabisa hakana furaha kabisa!
Huwa nakumbana nako occasion mbalimbali kama misiba, harusi ukikakuta live huwa hakana amani wala raha full stress...ngoja aingie insta sasa[emoji854]
P funk aache kuvuta weed aingilie maisha ya Paula[emoji2]Kama ni kweli basi inasikitisha sana na inabidi Pfunk Majani aingilie kati.
Mbususu si yake nyie mnapata shida gani.Mwacheni dogo atoe apendavyo na hata kale kamtandao aruhusu networkBongo nyoso kweliiii.
Hawa ndio mastaa wetu ambao tunasema ni vioo vya jamii. Lakini their life is fake to the ground.
[emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487]
Paula is an innocent beautiful little girl. Ila anakuwa let down na watu wazima. Na nnamuita little girl sababu she is the same age as my daughter Cassandrah.
Jamani Paula wala hasomi huko uturuki. Wamemuweka kwenye apartment za Airbnb. Mtoto ana kazi ya ku-hangout tu kwenye viwanja vya starehe. Wabongo wanamuona tu kwenyw restaurants. Hakuna cha chuo wala nini.
I think ni vile mtoto wa Mona alivyopelekwa chuo nje ikabidi tu wamuondoe Paula Dar ila ili watu wasiongee. Paula sio mwanafunzi wa chuo chochote huko Uturuki.
Paula hana makosa ni mtoto, ila hana tu watu wakumuongoza. Kweli mtoto wa 19 years unampeleka nchi ya nje unambwaga kwenye furnished apartments anaishi tu peke yake no shule no nothing ? Hayo maisha atayakimu vipi? Si ndo atajikuta anaingia kwenye maisha mengine?
Walichokosea Uturuki kuna watanzania wengi sana. Na wote wanajuana. Wangempeleka nchi haina watz habari zisingerudi kwa dada wa taifa [emoji24][emoji24][emoji24]
Mnyakyusa Raymond anachapiwa na ada atatoaBinti yuko darasani. View attachment 2003430
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki anachofanya Mange kinaitwa Cyber bullying.
Afu Vilaza tuKumbe Mange Kimambi ana wafuasi hadi huku JF? Kinachonishangaza, wengi ni wanaume.
Acha wamfaidi, uchi kala sana sasa acha na yeye agharamie shule. Hii inaitwa kula na kulipa.Mnyakyusa Raymond anachapiwa na ada atatoa
Kinachonishangaza inakuwaje Mange anakuwa na wafuasi wengi wa kiume kiasi hiki?Afu Vilaza tu
AstaghfirurahMange ana followers milioni 5.
Mimi kwenye page yangu ya kufundisha watu ufugaji wa nguruwe nina followers 27.
Bongo nyoso.
Embu idecode kidogo bibie andunje ndo Nani[emoji16]Daah mange noma, Kuna ishu ya water-zo, B kumi na mbili na andunje ni nomaz[emoji119][emoji119]
Elizabeth Michel aka Lulu maikoEmbu idecode kidogo bibie andunje ndo Nani[emoji16]
Hii mbona kama photoshop?Binti yuko darasani. View attachment 2003430
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki anachofanya Mange kinaitwa Cyber bullying.
Kuna video clip, hata ingekuwa hasomi kweli they couldn't go to that extent ya kudanganya kwa kutumia photoshop images, that can easily be exposed.Hii mbona kama photoshop?
Ukiangalia hiyo picha vizuri ni kama imekua edited