Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Kumbe wameanza muda? Mie sikuwahi kuwaza hata

Ila tu jamaa huo uinnocent wake ulikuwaga unanipa mashaka kiaina

Hapo bibie inabidi ajifanye haoni tu

Nchi ngumu sana hii
Nafikiri wanaweza wakawa wanalingana ktk mahusiano au dozen ndo b mkubwa!
 
Wanaume wenye pesa ukiona hana skendo yoyote ya kuwa na wanawake wa pembeni chunguza sana

Sasa sijui bora kipi

Kuwa na mke mwenza au mume mwenza?
Bora uke wenza hata wangapi ila me mwenziwe!loohh!unanyonya mafii!
 
Imagine this!

Andunje chenyewe full mashauzi kama nini, ila deep down ukikaangalia unakaona kabisa hakana furaha kabisa!

Huwa nakumbana nako occasion mbalimbali kama misiba, harusi ukikakuta live huwa hakana amani wala raha full stress...ngoja aingie insta sasa[emoji854]
Yule yuko kimaslahi mnoo pale,kusomeshewa feza mdogo wake,kuishi maisha mazuri sana ya sifa maana ana kauhaya yule na kumaintain status ila kiukweli hana amani ya nafsi"anafurahisha shetani wakati kiti anaumia"
 
Na wew unaleta habari za mange kimavi apa ?? Ukute wazazi wako wanakutegemea uwe baba wa watoto na uwatunze wazazi
Jf bila hizi habari itakuwa haijakamilika....

Wewe kama hizi habari hazikuvutii pita hivi..

Na mm kuleta hizi habari hainizuii kupish maisha yangu, huenda familia yangu na wazazi wangu wanaishi maisha poa zaidi ya ww unayejifanya uko serious for nothing.
 
Na wew unaleta habari za mange kimavi apa ?? Ukute wazazi wako wanakutegemea uwe baba wa watoto na uwatunze wazazi
Nimeamini nyani haoni kundule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Proof hii hapa kwenye uzi wako[emoji116][emoji116][emoji116]

Yule yuko kimaslahi mnoo pale,kusomeshewa feza mdogo wake,kuishi maisha mazuri sana ya sifa maana ana kauhaya yule na kumaintain status ila kiukweli hana amani ya nafsi"anafurahisha shetani wakati kiti anaumia"
Huko insta ndo naonaga mashauzi yake
 
aiseeee.....duuuuhh......ukiwa mtu maarufu basi usilazimishe na mwanao awe maarufu
 
Back
Top Bottom