Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

"Tanzania kuna viwanda vya uongo" by JK.

Kabla hujasapoti kitu kama B12 au Mr.Amplifaya kuwa mashoga ni bora ujiridhishe na hizo habari. Kuna mtu akikuchukia anaweza kukuzushia kitu cha aibu hapo huwezi kuchomoka.
Chuki ni mbaya sana.
 
"Tanzania kuna viwanda vya uongo" by JK.

Kabla hujasapoti kitu kama B12 au Mr.Amplifaya kuwa mashoga ni bora ujiridhishe na hizo habari. Kuna mtu akikuchukia anaweza kukuzushia kitu cha aibu hapo huwezi kuchomoka.
Chuki ni mbaya sana.
kabisa, kuna watu wenye degree za chuki, masters za uongo na PhD za umbea
 
Masha na Muna walipata confirmation toka chuo gani hapo Uturuki? China, India, UAE (Dubai) na Uturuki visa rahisi kupata watu wanaenda kuuza vipochi waje kununua IST na iPhone. Wakisingizia biashara ya viduka feki sinza.
***India wahindi hawana nguvu ya ku-pull (wamezoea kukalia mipini) dada zetu wanawapanga hata 100 kwa siku. Hela nje-nje Huko kwa wapenda pilipili. Kama una ndugu yako India chunguza vizur
[emoji848][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange ana followers milioni 5.

Mimi kwenye page yangu ya kufundisha watu ufugaji wa nguruwe nina followers 27.

Bongo nyoso.
Easy!

Anza kuuza udaku hata kama ni uzushi.

Anza harakati kali dhidi ya CCM na Rais.

Hakuna kitu kinalipa na ku-pull attention nchi hii kama Mpira, Harakati kali dhidi ya Rais na Udaku.

Wabongo ni mabingwa sana wa MIHEMKO ya nyuma ya Keyboard.

Ukiweza hata pesa wataanza kukutumia "MIHAMALA"
 
Bongo nyoso kweliiii.

Hawa ndio mastaa wetu ambao tunasema ni vioo vya jamii. Lakini their life is fake to the ground.


[emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487][emoji3488][emoji3487]

Paula is an innocent beautiful little girl. Ila anakuwa let down na watu wazima. Na nnamuita little girl sababu she is the same age as my daughter Cassandrah.

Jamani Paula wala hasomi huko uturuki. Wamemuweka kwenye apartment za Airbnb. Mtoto ana kazi ya ku-hangout tu kwenye viwanja vya starehe. Wabongo wanamuona tu kwenyw restaurants. Hakuna cha chuo wala nini.

I think ni vile mtoto wa Mona alivyopelekwa chuo nje ikabidi tu wamuondoe Paula Dar ila ili watu wasiongee. Paula sio mwanafunzi wa chuo chochote huko Uturuki.

Paula hana makosa ni mtoto, ila hana tu watu wakumuongoza. Kweli mtoto wa 19 years unampeleka nchi ya nje unambwaga kwenye furnished apartments anaishi tu peke yake no shule no nothing ? Hayo maisha atayakimu vipi? Si ndo atajikuta anaingia kwenye maisha mengine?

Walichokosea Uturuki kuna watanzania wengi sana. Na wote wanajuana. Wangempeleka nchi haina watz habari zisingerudi kwa dada wa taifa [emoji24][emoji24][emoji24]


Na wew unaleta habari za mange kimavi apa ?? Ukute wazazi wako wanakutegemea uwe baba wa watoto na uwatunze wazazi
 
Back
Top Bottom