Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Masha na Muna walipata confirmation toka chuo gani hapo Uturuki? China, India, UAE (Dubai) na Uturuki visa rahisi kupata watu wanaenda kuuza vipochi waje kununua IST na iPhone. Wakisingizia biashara ya viduka feki sinza.

***India wahindi hawana nguvu ya ku-push (wamezoea kukalia mipini) dada zetu wanawapanga hata 100 kwa siku. Hela nje-nje Huko kwa wapenda pilipili. Kama una ndugu yako India chunguza vizur
Hapo kwa india nakubali mdau ninae demu mmoja alienda kujiuza huko now yupo mjini daaah aliniambia tu wahindi mabwege mno na ni rahisi sana kuwapiga......now kageuka dalali yupo bongo ila anawadalalia wenzie india huko
 
HUYO MANGE NI MBWA KAMA MBWA WENGINE,YEYE INAMHUSU NINI MAISHA YA WENZIE??MBONA YEYE ANA SURA KAMA UGOKO NA HATUSEMI???

Ashukuru ameni block
Kama kakublock fungua akaunti ingine uendelee pale ulipoishia
 
Hapo kwa india nakubali mdau ninae demu mmoja alienda kujiuza huko now yupo mjini daaah aliniambia tu wahindi mabwege mno na ni rahisi sana kuwapiga......now kageuka dalali yupo bongo ila anawadalalia wenzie india huko
Wahindi mpaka umtie vidole kwanza
 
Kuna video clip, hata ingekuwa hasomi kweli they couldn't go to that extent ya kudanganya kwa kutumia photoshop images, that can easily be exposed.
Kuna video clips You Tube hata hiyo nimekutana nayo huko, mimi sina IG wala FB accounts. Ipo clip yupo class mpaka lecturer anamuita jina ni kwamba aliipost na hizi online TV channels zikaichukua na kuirusha.
Mange ameingizwa chaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hiyo picha ni editing picha yenyewe ni hii

shutterstock_1917238154.jpg
 
Ni amini mimi. Hiyo PR ya Mange app. Paula anasoma chuo. Hiwezi kupata visa Uturuki bila confirmation ya chuo unakoenda
Hatukuamini, hata waliokwenda UK na USA kwa student viza siyo wote waliokwenda kuripoti vyuoni na kusoma.

Student viza kwa mwingine ndio option rahisi ya kupata viza ya muda mrefu na unaruhusiwa kufanyakazi.
 
Back
Top Bottom