Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Jamani Kuna vitu vingine mtu unajitakia kusemwa vibaya mfano hakuna mwenye ushaidi kuhusu tuhuma za kulalwa kwa ndugu yetu b ..kumi na mbili ..ila naye life style inachangia watu kumsema vibaya...chanza Cha yeye kusemwa vibaya ni kuwa umri umekwenda bila kuoa...nimeanza kumsikiliza tangu mwaka 2003 nikiwa darasa la tano..mpaka leo ni mtu mwenye 40+ Ana kila kitu nyumba ..gari ..kazi mzuri Cha ajabu anamke Wala mtoto..sijui wazazi wake wanajisikiaje..hii tofauti na tamaduni zetu ..hata professa Jay alipochelewa kuoa alizushiwa kuwa na ngoma...so namshauri ndugu dazani aoe na akumbuke yy ni mtu mzima aache kuvaa vinguo vya kubana...na abadiri mfumo wa maisha.
Maelezo mengi ila hayana mantiki hata kidogo. Khaaaaah
 
Kusoma / Education ni nini ?

Huenda hio exposure na CV atakayoipata huko ki-utendaji atakuwa bora kuliko hawa hao waalimu wa hospitality waliopo huku...

Tusipende ku-complicate maisha
 
Yaani mama mtu apeleke mtu ilimradi aende tu kuishi huko...nahisi Mange anataka tu kuongeza followers/views sio vizuri hivyo unavyofanya mkuu
Shida sio Mange,shida ni wapuuzi wengi tena wengine wana akili nzuri kabisa wanaomwamini kwa kila asemacho wakati ameshawa mislead kweney mambo kibao.Ana katafutia stress tu kale ka toto
 
Back
Top Bottom