tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
Baada ya kushindwa kwa mpango wake mkubwa wa kupanga na kuratibu maandamano yasiyokoma ili kuuondoa utawala wa Rais Magufulu madarakani hapo 26 April sasa mwanadada maarufu katika mitandao amegeuka kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva.
Naona amekumbuka nyimbo za Ali Kiba na kuanza kuimba kopi zake ili kuburudisha ubongo wake katika kutafuta peace of mind yaani amani ya moyo.
Hongera dada kwa maamuzi yako nadhani kipaji cha uimbaji unacho na sauti ya kuimba unayo pia ni matumaini yangu kuwa utafika mbali kwenye tasnia ya music.
Kurasa zake sasa zinatamba na post anazaimba nyimbo za Bongo Fleva.