Mange Kimambi sasa aamua kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Baada ya kushindwa kwa mpango wake mkubwa wa kupanga na kuratibu maandamano yasiyokoma ili kuuondoa utawala wa Rais Magufulu madarakani hapo 26 April sasa mwanadada maarufu katika mitandao amegeuka kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva.

Naona amekumbuka nyimbo za Ali Kiba na kuanza kuimba kopi zake ili kuburudisha ubongo wake katika kutafuta peace of mind yaani amani ya moyo.

Hongera dada kwa maamuzi yako nadhani kipaji cha uimbaji unacho na sauti ya kuimba unayo pia ni matumaini yangu kuwa utafika mbali kwenye tasnia ya music.

Kurasa zake sasa zinatamba na post anazaimba nyimbo za Bongo Fleva.
 
nadhani wewe una vinasaba na Jiwe maana reasoning hampishani
 
Atawezaje ku-rap na "mtetemo" wake?
 
Hehehe mtoa bandiko ni miongoni mwa waathirika wa ugonjwa wa Mangeniasis unaoshambulia akili na mtu anakuwa na hofu nyingi
Nahitaji full music system (Home theatre) ya kutoka kampuni ya Sony ni sh ngapi?
 
Baada ya kushindwa kwa mpango wake mkubwa wa kupanga na kuratibu maandamano yasiyokoma ili kuuondoa utawala wa Rais Magufulu madarakani hapo 26 April sasa mwanadada maarufu katika mitandao amegeuka kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva.

Naona amekumbuka nyimbo za Ali Kiba na kuanza kuimba kopi zake ili kuburudisha ubongo wake katika kutafuta peace of mind yaani amani ya moyo.

Hongera dada kwa maamuzi yako nadhani kipaji cha uimbaji unacho na sauti ya kuimba unayo pia ni matumaini yangu kuwa utafika mbali kwenye tasnia ya music.

Kurasa zake sasa zinatamba na post anazaimba nyimbo za Bongo Fleva.
Duuh
 
Kawabana kila kona, na bado mtajamba jamba sana akiwajia na bomu la world bank.
JAribu tena

Hilo la world bank ni fake. Wao wenyewe wanaomba kuikopesha Tanzania. Halafu mnatuletea fake news zenu eti wanasitisha mkopo. Wabongo bwana wavivu kufikiri hadi mnamtegemea mange Kimavi afikiri kwa niaba yenu
 
Back
Top Bottom