nadhani wewe una vinasaba na Jiwe maana reasoning hampishaniBaada ya kushindwa kwa mpango wake mkubwa wa kupanga na kuratibu maandamano yasiyokoma ili kuuondoa utawala wa Rais Magufulu madarakani hapo 26 April sasa mwanadada maarufu katika mitandao amegeuka kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva.
Naona amekumbuka nyimbo za Ali Kiba na kuanza kuimba kopi zake ili kuburudisha ubongo wake katika kutafuta peace of mind yaani amani ya moyo.
Hongera dada kwa maamuzi yako nadhani kipaji cha uimbaji unacho na sauti ya kuimba unayo pia ni matumaini yangu kuwa utafika mbali kwenye tasnia ya music.
Kurasa zake sasa zinatamba na post anazaimba nyimbo za Bongo Fleva.
JiweJiwe ndiyo nani huyo?
Ni jiweJiwe ndiyo nani huyo?
DuuhBaada ya kushindwa kwa mpango wake mkubwa wa kupanga na kuratibu maandamano yasiyokoma ili kuuondoa utawala wa Rais Magufulu madarakani hapo 26 April sasa mwanadada maarufu katika mitandao amegeuka kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva.
Naona amekumbuka nyimbo za Ali Kiba na kuanza kuimba kopi zake ili kuburudisha ubongo wake katika kutafuta peace of mind yaani amani ya moyo.
Hongera dada kwa maamuzi yako nadhani kipaji cha uimbaji unacho na sauti ya kuimba unayo pia ni matumaini yangu kuwa utafika mbali kwenye tasnia ya music.
Kurasa zake sasa zinatamba na post anazaimba nyimbo za Bongo Fleva.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahitaji full music system (Home theatre) ya kutoka kampuni ya Sony ni sh ngapi?
Kawabana kila kona, na bado mtajamba jamba sana akiwajia na bomu la world bank.
JAribu tena
That is a very poor analysisKawabana kila kona, na bado mtajamba jamba sana akiwajia na bomu la world bank.
JAribu tena