warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ila Mange jamani namuonea huruma, alikazana mwenyewe miezi mitatu busy kuhamasisha maandamano na wabongo tulivyojaliwa unafiki tukamjaza ujinga na video juu tukamtumia kumtia moyo, bi dada si akajiona ka win, kilichomtokea Mungu anajua, ila alijitahidi kidogo umeitetemesha Serikali ya Rais Magufuli.
Ila ushauri wangu bibie urudi tu kwenye umbea mwenzangu, maana Watanzania tulikupendea umbea tu, maana kunakipindi ulikua hot kwa ubuyu, hizi siasa ulizidandia tu.
Watanzania wengi walioku follow walikua wanataka ubuyu kutoka kwako, sasa wewe kupenda makubwa ukajikuta sijui waziri mkuu au mbunge kutaka kuwapanda watanzania kichwani ukadhani Watanzania mamburula, walikua wanakuchora tu unavyojishebedua, naona sasa hivi umetulia kama maji ya mtungi.
By the way, urudi tu utupe umbea, hapo bado tu nakupenda ila siasa pumzika tu mama Kenzo ila kwenye ubuyu tunakuaminia.