Mange Kimambi umbea ndio fani yako, siasa waachie akina Maria Sarungi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila Mange jamani namuonea huruma, alikazana mwenyewe miezi mitatu busy kuhamasisha maandamano na wabongo tulivyojaliwa unafiki tukamjaza ujinga na video juu tukamtumia kumtia moyo, bi dada si akajiona ka win, kilichomtokea Mungu anajua, ila alijitahidi kidogo umeitetemesha Serikali ya Rais Magufuli.

Ila ushauri wangu bibie urudi tu kwenye umbea mwenzangu, maana Watanzania tulikupendea umbea tu, maana kunakipindi ulikua hot kwa ubuyu, hizi siasa ulizidandia tu.

Watanzania wengi walioku follow walikua wanataka ubuyu kutoka kwako, sasa wewe kupenda makubwa ukajikuta sijui waziri mkuu au mbunge kutaka kuwapanda watanzania kichwani ukadhani Watanzania mamburula, walikua wanakuchora tu unavyojishebedua, naona sasa hivi umetulia kama maji ya mtungi.

By the way, urudi tu utupe umbea, hapo bado tu nakupenda ila siasa pumzika tu mama Kenzo ila kwenye ubuyu tunakuaminia.
 
Robot la mange kimambi,hebu ngoja nisikitike kwanza[emoji17] [emoji17] [emoji17] baba mtu mzima kama wewe kumshabikia kahaba kama yule anaeishi kwa child support ni ujinga wa kiwango cha sgr
Acha Wenge,Mange ndio habari ya Mjini Hata BABA JESKA na BASHITE masaa 24 wapo kwa peji ya mange kuona leo kuna habari gani hahaaa hata Le Mtumboz you know lazima apitie peji ya mange akiona hajapost kitu basi Le Mtumboz lazima amchokoze Mange hahaahaha THIS CASE IS CLOSED.
 
IMG_20180508_212716_511.jpg
 
Ila betina jaman namuonea huruma, alikazana mwenyewe miezi mitatu busy kuhamasisha maandamano , na wabongo tulivyojaliwa unafiki tukamjaza ujinga na video juu tukamtumia kumtia moyo, Bi dada si akajiona Ka win , kilichomtokea Mungu anajua , Ila alijitahidi Kidogo kuitia jamba jamba serikali ya magu

Ila ushauri wangu bibie urudi tu kwenye umbea mwenzangu , maana watanzania tulikupendea umbea tu , maana kunakipindi ulikua hot kwa ubuyu, hizi siasa ulizidandia tu , watanzania wengi walioku follow walikua wanataka ubuyu kutoka kwako , sasa wewe kupenda makubwa ukajikuta sijui waziri mkuu au mbunge kutaka kuwapanda watanzania kichwani ukadhani watanzania mamburula, walikua wanakuchora tu unavyojishebedua , naona sasa hvi umetulia kama maji ya mtungi

By the way , urudi tu utupe umbea , hapo bado tu nakupenda Ila siasa pumzika tu mama kenzo , Ila kwenye ubuyu tunakuamiania
Hichi kidemu kilikua wapi?
 
Robot la mange kimambi,hebu ngoja nisikitike kwanza[emoji17] [emoji17] [emoji17] baba mtu mzima kama wewe kumshabikia kahaba kama yule anaeishi kwa child support ni ujinga wa kiwango cha sgr

Halafu uliona video yake? Ujanja nyuma ya keyboard hata kuongea hajui mi ndo nilimdharau , mwanaharakati anababaika kujielezea yan lilikua kama zombie
 
Ila betina jaman namuonea huruma, alikazana mwenyewe miezi mitatu busy kuhamasisha maandamano , na wabongo tulivyojaliwa unafiki tukamjaza ujinga na video juu tukamtumia kumtia moyo, Bi dada si akajiona Ka win , kilichomtokea Mungu anajua , Ila alijitahidi Kidogo kuitia jamba jamba serikali ya magu

Ila ushauri wangu bibie urudi tu kwenye umbea mwenzangu , maana watanzania tulikupendea umbea tu , maana kunakipindi ulikua hot kwa ubuyu, hizi siasa ulizidandia tu , watanzania wengi walioku follow walikua wanataka ubuyu kutoka kwako , sasa wewe kupenda makubwa ukajikuta sijui waziri mkuu au mbunge kutaka kuwapanda watanzania kichwani ukadhani watanzania mamburula, walikua wanakuchora tu unavyojishebedua , naona sasa hvi umetulia kama maji ya mtungi

By the way , urudi tu utupe umbea , hapo bado tu nakupenda Ila siasa pumzika tu mama kenzo , Ila kwenye ubuyu tunakuamiania
Umeandika nini sasa!
 
Mange anahasira za kunyimwa keki ya taifa baada ya kumpigia kampeni uncle magu,alijua atapewa ubunge viti maalum au ubalozi wa Tz marekani,hivyo anachokifanya sasa ni kutishia nyau,wakati huyo anaemtishia nae ni bandidu kwelikweli!
 
Back
Top Bottom