Mange Kimambi umbea ndio fani yako, siasa waachie akina Maria Sarungi

Halafu uliona video yake? Ujanja nyuma ya keyboard hata kuongea hajui mi ndo nilimdharau , mwanaharakati anababaika kujielezea yan lilikua kama zombie
Unatafuta akujibu tu

Ova
 
Sasa warumi natafutaje kiki jaman , wakat Mimi jf ndo harwatani, ningekua natafuta kiki ningemfuata insta mxieww ebu nitue mjalaana weye
Harwatan au Al-watan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan
 
Wee kipigo cha mbwa koko unakijua?

Weee chezeya watanzania walikua wapole kama pumbu za Juma lokole, watu walikua wanatangaza biashara za majeneza na magongo na wheel chair wee nani anataka majanga, yan nilicheka mtu kabisa anatangaza majeneza na magongo na wheel chair yan watanzania wamepinda
 
watanzania wengi tumetawaliwa na upumbafu ndo maana jaamaa kila akipanda jukwaani mitusi tele sahizi anagawa mpunga huko dodoma
 
Robot la mange kimambi,hebu ngoja nisikitike kwanza[emoji17] [emoji17] [emoji17] baba mtu mzima kama wewe kumshabikia mtu kama yule anaeishi kwa child support ni ujinga wa kiwango cha sgr


Wewe ndio usikilize vile vifaru na watu kuchosha vitambi unadhubutu kusema Mange alishindwa....... thubutu yako alifanikiwa 99.5% hiyo ya bara barani was just finally tuu
 
Ahahahahahhaahahha
 
Huu ndo ukweli wanammis Magu anafurahi kweli kwa sasa Mange alivyopumzika
 
Robot la mange kimambi,hebu ngoja nisikitike kwanza[emoji17] [emoji17] [emoji17] baba mtu mzima kama wewe kumshabikia mtu kama yule anaeishi kwa child support ni ujinga wa kiwango cha sgr

Je wewe unayemshabikia malaika mkuu na bashite hujishangai
 
Ikawa nuru ikawa Giza ..Siku ya saba JK akamuumba JPM...maboko jazz band
 
Nyie ndo mnaovimbisha kichwa halafu mnamuacha solemba, hyo august 1 ataandamana na followers wake insta kama kawaida
Hakuna anayemvimbisha kichwa,yule ndio alivyo hata akibaki peke yake bado atakinukisha tu.
 
Mbona juzi hakukinukisha, kwa hyo unasema atakuja kuandamana mwenyewe , mange mjanja insta tu , nimeona interview yake muoga kama kunguru hata kujielezea hajui mciee
Sawa ingia kwenye 18 zake ndio utamjua....Usiende kwa Kuhide ID kama warumi nenda live kama wewe ndio utamjua kama ni muoga ua lah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…