mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Unatafuta akujibu tuHalafu uliona video yake? Ujanja nyuma ya keyboard hata kuongea hajui mi ndo nilimdharau , mwanaharakati anababaika kujielezea yan lilikua kama zombie
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta akujibu tuHalafu uliona video yake? Ujanja nyuma ya keyboard hata kuongea hajui mi ndo nilimdharau , mwanaharakati anababaika kujielezea yan lilikua kama zombie
Harwatan au Al-watan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaanSasa warumi natafutaje kiki jaman , wakat Mimi jf ndo harwatani, ningekua natafuta kiki ningemfuata insta mxieww ebu nitue mjalaana weye
Wee kipigo cha mbwa koko unakijua?Nyie ndo mnaovimbisha kichwa halafu mnamuacha solemba, hyo august 1 ataandamana na followers wake insta kama kawaida
Wee kipigo cha mbwa koko unakijua?
atatukaniwa hadi bibi yake mzaa babu yakeKamfate huko kwenye page yake
watanzania wengi tumetawaliwa na upumbafu ndo maana jaamaa kila akipanda jukwaani mitusi tele sahizi anagawa mpunga huko dodomaWeee chezeya watanzania walikua wapole kama pumbu za Juma lokole, watu walikua wanatangaza biashara za majeneza na magongo na wheel chair wee nani anataka majanga, yan nilicheka mtu kabisa anatangaza majeneza na magongo na wheel chair yan watanzania wamepinda
Robot la mange kimambi,hebu ngoja nisikitike kwanza[emoji17] [emoji17] [emoji17] baba mtu mzima kama wewe kumshabikia mtu kama yule anaeishi kwa child support ni ujinga wa kiwango cha sgr
AhahahahahhaahahhaWeee chezeya watanzania walikua wapole kama pumbu za Juma lokole, watu walikua wanatangaza biashara za majeneza na magongo na wheel chair wee nani anataka majanga, yan nilicheka mtu kabisa anatangaza majeneza na magongo na wheel chair yan watanzania wamepinda
HahaahhahahahAnanikausha uzazi na yeye ngoja nimchambe kiganda
Ilikuwa mbaya sana sanayaani aliumbuka vibaya sana ata wanaomtetea wanajua kuwa kaumbuka sana
Huu ndo ukweli wanammis Magu anafurahi kweli kwa sasa Mange alivyopumzikaAcha Wenge,Mange ndio habari ya Mjini Hata BABA JESKA na BASHITE masaa 24 wapo kwa peji ya mange kuona leo kuna habari gani hahaaa hata Le Mtumboz you know lazima apitie peji ya mange akiona hajapost kitu basi Le Mtumboz lazima amchokoze Mange hahaahaha THIS CASE IS CLOSED.
Robot la mange kimambi,hebu ngoja nisikitike kwanza[emoji17] [emoji17] [emoji17] baba mtu mzima kama wewe kumshabikia mtu kama yule anaeishi kwa child support ni ujinga wa kiwango cha sgr
Hakuna anayemvimbisha kichwa,yule ndio alivyo hata akibaki peke yake bado atakinukisha tu.Nyie ndo mnaovimbisha kichwa halafu mnamuacha solemba, hyo august 1 ataandamana na followers wake insta kama kawaida
Hakuna anayemvimbisha kichwa,yule ndio alivyo hata akibaki peke yake bado atakinukisha tu.
Sawa ingia kwenye 18 zake ndio utamjua....Usiende kwa Kuhide ID kama warumi nenda live kama wewe ndio utamjua kama ni muoga ua lah.Mbona juzi hakukinukisha, kwa hyo unasema atakuja kuandamana mwenyewe , mange mjanja insta tu , nimeona interview yake muoga kama kunguru hata kujielezea hajui mciee
Hebu tuma na zingine kama hizi