Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti eeeh...[/QUOTE
Na kingine muke ya americano anawazidi wapinzani wake wengi wala sio kwa vile kaolewa na muzungu nooo....ni EDUCATION...wapinzani wake wengi shule ni mmmh....au za kayumba...kwa hilo tu yuko juu...
Nyie mnamjua Mange au?...watoto wa Temeke wengi hapa wanajampajampa tu!. Mange is the best ever.
Haya haya kimenuka
Mume wa kiki akamatwa kwa utapeli
Magari
Kushowoff kumbe magari kajipatia kwa njia ya udanganyifu
Trip za nje na kadhalika kumbe pesa ya udanganyifuuuuuu
Nani zaidi kiki au mange
Shoga siku nyingine ukiona ubuyu kama huu wa kwa mzee Issa uwe unaniita.........sasa kurasa lukuki nitasamaraizi vipi lakini...........
hiyo ndiyo Tofauti ya Mange na wao , kutwa mnamsema anauza maronya kiko wapi ? heheheheheiyaaa wacha niwahi utani miyeee full Umbeiyaaaaa na kesho tunaenda kutambika kwa watoto yatima wewe ! My New Baby kumbe gari ya wizi si bora utembelee Baby walker ila ni jasho halali ???????????
Heheheh
Pole shosti
Huu ubuyu mpya
Mambobya show off za mjini zinaponza.......
Watafurahi.........
wakituona tunaendesha Amarok zetu si watuulize tumepataje........
wanawafanya watoto wa kike kutamani maisha yao........watoto wa watu wanafanya vitu vya ajabu Ili wawe kama wao......kumbe matapeli........
nakwambia mjini siji.........bakini wenyewe huko............
Utakuwa umevisaidia sana hivi vibinti ambavyo havijui kuchagua role model wao
Watafurahi.........
wakituona tunaendesha Amarok zetu si watuulize tumepataje........
wanawafanya watoto wa kike kutamani maisha yao........watoto wa watu wanafanya vitu vya ajabu Ili wawe kama wao......kumbe matapeli........
nakwambia mjini siji.........bakini wenyewe huko............
Yaani mwaka wa wadada wa mjini huu
Huko IG ni showoff to ya magari na maisha vere eksipensivu.... mtu unajiuliza hawa wanafanya kazi saa ngapi??? Hupati jibu
wanatuharibia watoto haswaaaaa
Kumbe nyuma yake kuna wizi utapeli sembe na kila aina ya uchafu
Acha wadakwe wote itawafanya vijana wajue maisha mazuri yanaletwa kwa kazi....tena halali
Ila kwa kweli jijini Dar kuna hitaji maombi..........tena ya mkesha..........
huku Yaeda kila mtu anauza vitunguu vyake na mchele wa magugu........
juzi Katarina kanunua passo.........Perpetua kasema hakubali........January na yeye anaagiza Duet.......X5 na 6 mnazijua nyie huko mjini hakyamama..........
mbona wewe una AMAROK huko huko YAEDA....nakuja next weekend sio mbaya ukiniachia nioshe jina kwa watoto wa Chuga!!