Mange Kimambi Vs Kisa Zimba(KiKi)

Mange Kimambi Vs Kisa Zimba(KiKi)

Sio Brigitte Alfred ni Genevieve mpangala ndo aliekua anatoka na Malick

Mamii ni briggete huyo genev kaachwa co leo...ambaye alikuwa zenji na maliki ni brigette. Huo mkwara aliopigwa brigette akirudiana na malick atakua na roho ya kijasusi
 
Hahahaha, umenifurahisha.... naomba unikaribishe yaeda chini

Aaaah......wewe tena.......nitakutengenezea wine ya asali na ka bbq ka numbiri........utafurahi........karibu sana........
 
Hahahahah

Flo aliniacha hoi

Facebook akashukuru kumshinda pepo.... alidai lilitaka kumpoteza..sasa hivi yupo busy na duka lake

unajua kabisa kiswahili sijui.......dada yangu Flo alisutwa akafunga acc Insta........wewe unataka nihame JF........chonde chonde shosti.........twende taratibu.........

Heheheh utamuomba invisible ban ya muda...

Maana mashabiki wa mange ni noma kwa vifronti front...walimfanyia kampeni team ukweli na uwazi IG mpaka akafungiwa akaunti
 
Mamii ni briggete huyo genev kaachwa co leo...ambaye alikuwa zenji na maliki ni brigette. Huo mkwara aliopigwa brigette akirudiana na malick atakua na roho ya kijasusi

Eheeeee.........Ubuyu wa unga huu.......mtamujeeeeeee.........lete mwingi........kuna mkwara zaidi ya kutolewa roho.......?......mimi nitishie kunitoa roho.......utanipata.........mengine yote hakuna jipya........tutapambana........
lete kashda wakwetu.........
 
anaitwa kima kwa sababu ya kisa + malick.......kama ilivyokuwa Kiki.......kisa + kinje.......
tutajasutwa ujue.........

halafu nipe link ya vitafunwa........nataka nichome bajia za kunde.........

Kweli yule Kinje mademu alotembea nao wakiambiwa washikane mikono wapange mstari.....huo mstari utafika hadi songea.....
 
Huyo kinje si ndio wanasema ni kimbilimbi???

Akahamia sa na Mkewe sijui demu wake baada ya kuzidiwa kete na salama???

Ni mkewe alioaga harusi ya kishindo tu....Kumbe mkewe alikuwa anakobolewa na salama? Nlikuwa sijui....
 
Hahahahah

Flo aliniacha hoi

Facebook akashukuru kumshinda pepo.... alidai lilitaka kumpoteza..sasa hivi yupo busy na duka lake

Heheheh utamuomba invisible ban ya muda...

Maana mashabiki wa mange ni noma kwa vifronti front...walimfanyia kampeni team ukweli na uwazi IG mpaka akafungiwa akaunti

Kwani anawatoto wangapi?
 
Back
Top Bottom