mi simjui huyu Dada Ila kwa taswira ilivyoo na elimu yake haviendaniTunaomjua Emma tumebaki midomo wazi[emoji43] .
Kama ndo yeye kweli basi sijui hata niseme nini tu.
Udadisi hebu njoo huku.
Can Emma really be in this mess?
If she is then she has definitely changed because the Emma I knew and know wouldn't do what she's being accused of doing.
Mimi namjua vizuri kabisa!mi simjui huyu Dada Ila kwa taswira ilivyoo na elimu yake haviendani
yaani nimeumia kama namjua vile
maana sura na Yale mabomu anayorusha tofauti!!
Aiseeh!lazma ushangae maana kwa elimu yake na uswahili ule natamani asiwe yeye aiseehh!Mimi namjua vizuri kabisa!
Kwa kweli haendani kabisa na yale matusi ambayo anadaiwa kuyaporomosha!Aiseeh!lazma ushangae maana kwa elimu yake na uswahili ule natamani asiwe yeye aiseehh!
Kwa kweli haendani kabisa na yale matusi ambayo anadaiwa kuyaporomosha!
Ila kama ndo yeye kweli basi ni hatari sana maana mazingira aliyokulia hayaendani kabisa na mambo ambayo anadaiwa kuyafanya.
Hata hivyo binadamu tu viumbe changamani sana na hivyo wakati mwingine haijalishi mtu umekulia kwenye mazingira gani.
Ila kwa watu tuliokulia naye UDSM baadhi yetu tumebaki midomo wazi...
Hahaha watu mnapenda ukubwaKumbe umekulia UDSM. Pengine nilikufundisha nursery school.
Hahahahaha, uwiii. Watu mna maneno jamani, kah!Letumboz..lemafiz yamejaaa...huyo jamaa chenga..mafans wake pia leboyaz
Mie namjua huyu dada, sidhani kama ni kichwapanzi, sema nadhani anajuana na kichwa panzi. Atakua anacheza behind the scene. Naye mbea mbea, huu umbea wake utakua umemponza. Hopefully atajifunza. Anaonekana mpole, lakini si mpole kihivyooo, undercover.mi simjui huyu Dada Ila kwa taswira ilivyoo na elimu yake haviendani
yaani nimeumia kama namjua vile
maana sura na Yale mabomu anayorusha tofauti!!
so ana pay the price ya kumjua kichwa panzi,Ila sura ile na umbea mbona tofauti labda kama ubuyu wa kawaida Ila ule in uexceptional wangu!Mie namjua huyu dada, sidhani kama ni kichwapanzi, sema nadhani anajuana na kichwa panzi. Atakua anacheza behind the scene. Naye mbea mbea, huu umbea wake utakua umemponza. Hopefully atajifunza. Anaonekana mpole, lakini si mpole kihivyooo, undercover.
Kwa kweli haendani kabisa na yale matusi ambayo anadaiwa kuyaporomosha!
Ila kama ndo yeye kweli basi ni hatari sana maana mazingira aliyokulia hayaendani kabisa na mambo ambayo anadaiwa kuyafanya.
Hata hivyo binadamu tu viumbe changamani sana na hivyo wakati mwingine haijalishi mtu umekulia kwenye mazingira gani.
Ila kwa watu tuliokulia naye UDSM baadhi yetu tumebaki midomo wazi...
Hey Missy...I lo u
USA baby[emoji631] [emoji631] [emoji631]
[emoji180] [emoji180] [emoji180]
- Ona hapa mambo ya Mwanza Fiesta le wabebezzz
[URL='https://3.bp.blogspot.com/-bNLGDu9SiPs/V7slZLrdmUI/AAAAAAACmqk/K9OdR03sCK045LCw5aq5HEC3vZ0zQmWbACLcB/s1600/IMG_20160821_042017.jpg'][/URL]
Lmao!!!! I cant believe Miss Natafuta alikukataa live kwenye hii public keshalainika!???? [emoji23]
kweli mkate hata uwe mgumu vipi, komesha yake chai.....
No woman says no to Ngabu!