Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Tunaomjua Emma tumebaki midomo wazi[emoji43] .

Kama ndo yeye kweli basi sijui hata niseme nini tu.

Udadisi hebu njoo huku.

Can Emma really be in this mess?

If she is then she has definitely changed because the Emma I knew and know wouldn't do what she's being accused of doing.
mi simjui huyu Dada Ila kwa taswira ilivyoo na elimu yake haviendani
yaani nimeumia kama namjua vile

maana sura na Yale mabomu anayorusha tofauti!!
 
Aiseeh!lazma ushangae maana kwa elimu yake na uswahili ule natamani asiwe yeye aiseehh!
Kwa kweli haendani kabisa na yale matusi ambayo anadaiwa kuyaporomosha!

Ila kama ndo yeye kweli basi ni hatari sana maana mazingira aliyokulia hayaendani kabisa na mambo ambayo anadaiwa kuyafanya.

Hata hivyo binadamu tu viumbe changamani sana na hivyo wakati mwingine haijalishi mtu umekulia kwenye mazingira gani.

Ila kwa watu tuliokulia naye UDSM baadhi yetu tumebaki midomo wazi...
 
Kumbe umekulia UDSM. Pengine nilikufundisha nursery school.
 
mi simjui huyu Dada Ila kwa taswira ilivyoo na elimu yake haviendani
yaani nimeumia kama namjua vile

maana sura na Yale mabomu anayorusha tofauti!!
Mie namjua huyu dada, sidhani kama ni kichwapanzi, sema nadhani anajuana na kichwa panzi. Atakua anacheza behind the scene. Naye mbea mbea, huu umbea wake utakua umemponza. Hopefully atajifunza. Anaonekana mpole, lakini si mpole kihivyooo, undercover.
 
so ana pay the price ya kumjua kichwa panzi,Ila sura ile na umbea mbona tofauti labda kama ubuyu wa kawaida Ila ule in uexceptional wangu!
Kwa kweli haendani kabisa na yale matusi ambayo anadaiwa kuyaporomosha!

Ila kama ndo yeye kweli basi ni hatari sana maana mazingira aliyokulia hayaendani kabisa na mambo ambayo anadaiwa kuyafanya.

Hata hivyo binadamu tu viumbe changamani sana na hivyo wakati mwingine haijalishi mtu umekulia kwenye mazingira gani.

Ila kwa watu tuliokulia naye UDSM baadhi yetu tumebaki midomo wazi...

mi nakubaliana na wewe asilimia kadhaa kua sio yy na hata amebadilika daahhh!!

hatariii!!!
 
Hey Missy...I lo u

USA baby[emoji631] [emoji631] [emoji631]

[emoji180] [emoji180] [emoji180]

Lmao!!!! I cant believe Miss Natafuta alikukataa live kwenye hii public keshalainika!???? [emoji23]
kweli mkate hata uwe mgumu vipi, komesha yake chai.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom