Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Kweli Aache kuchambana na mwanamke yani jamaa cjui vpSidhani kama Le Mutuz atapungukiwa kitu akiamua kuishi maisha ya faragha. Siyo tu kwa umri ila pia kwa dhamira ya kutunza heshima na legacy ya Mzee wake ambaye aliitumikia hii nchi kwa moyo wake wote.
Naumia sana kuona William anatumia mitandao kufanya majibishano yenye kumuacha uchi yeye na family yake.
Am out
aisee...le Capitalist angebeba vya Sugu..angalao! Hapo anawazibia underground...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimewasoma wote na comments za followers wao, mshindini MANGE. Uwiiiiiiiiiiiiiiii lemutuz angeacha kabisa bifu na huyu dada manake ana matusi ready made! Hahahahahaha nimecheka no pale anapomhurumia mchumba wa lemutuz eti kwa kubeba fuso tani 10 anaishia kuhongwa elfu 20 wakati alipaswa apewe hadi hela ya kuendea gym
Nimewasoma wote na comments za followers wao, mshindini MANGE. Uwiiiiiiiiiiiiiiii lemutuz angeacha kabisa bifu na huyu dada manake ana matusi ready made! Hahahahahaha nimecheka no pale anapomhurumia mchumba wa lemutuz eti kwa kubeba fuso tani 10 anaishia kuhongwa elfu 20 wakati alipaswa apewe hadi hela ya kuendea gym
Mange kamkosa LeMutuz analia lia, lazima alitegemea kuombwa amuoe amsaidie kurudi nchini na kumsaidia asiwe nyama ya mbwa anavyosubiriwa kwa hamu na watu..sasa LeMutuz kapata jiko anawashwaaaaaa haswa na hivyo yupo singo ni shidaaaa
Huku kuvamia familia za watu huku sasa the so called mjomba anachambwa hadharani?Anamsema nyumba aliishi mama ake wakati yeye alizaliwa uswazi uswazi ndani ndani baada ya ababake kumpa mimba housegirl ambaye ni mama ake...kasota kwenye shida...naona anaelekea kurudi huko sababu na mzungu katimka mbio...na mama ake aliishi tena Dar tena sehemu sijui nayo wanasema mbaya sana hakuwa na kitu...hata kuiba pesa za baba ake amjengee mama yake alijuwa busy kusaka mzungu na kuomba ma binti na wanawake wa Kitanzania wampe dola mia awaunge kwenye mtandao wakutane na wazungu huku kujiunga ni dola 20... Yaani waingie alafu wasake wenyewe sio kwamba anawapa...ni tapeli wa grade A*** na pia nguo na sijui nini kaibia watu wa hapa nchini pesa walipomdai aliwatukana na kuwachafua mitandaoni.
Sasa yeye na lemutuz msaka pesa kwa jasho lake nani bora?? Ujiulize wewe mange. Acha upuuzi
Hapo hata mimi aliniacha hoiLe Mtumboz kiboko anamzika mama yake na kaptula ya jeshi la Tanganyika la mkoloni
KAR
ingependeza sana hii comment yako ungeitoa kwenye akaunti yake , tuone atakachokujibu ......maana majibu yake yanatutolea stress kabisa hahahaha
Huku kuvamia familia za watu huku sasa the so called mjomba anachambwa hadharani?