Always humsisitiza anaweFiance wako una uhakika ananawa.
Ila wanaume mumezidi hao ni wa Asia huko ila wakibongo nadra sana
Duh!
Ila wanaume mumezidi hao ni wa Asia huko ila wakibongo nadra sana
Hahahahaha acha chai basi, unamwambiaje.Always humsisitiza anawe
Wasichana usisahau wakienda kwenye vile vyoo vya kukaa nasikia wanapanda juu yake.Diva hii picha ilipowekwa mara ya kwanza aliyeiweka alidai hawa warembo ni wabongo. Mimi mwenyewe nimeshuhudia hili sana katika sehemu za kujirusha, kwenye parties, au harusini na nilipojaribu kuuliza sababu ya wanawake kupendelea kufanya hivi nje badala ya washroom sababu kubwa ni kwamba vyoo vichafu, kuna watu wengi wash rooms hawawezi kusubiri, ila nakubaliana nawe kwamba wanaume tunaongoza kwe hili lakini cha kushangaza kwenye nchi za wenzetu hili jambo ni nadra sana kuliona na ukionekana unaweza kupigwa faini ya kuchafua mazingira. Pia nchi za wenzetu sehemu za kujisaidia zipo kibao ukilinganisha na Tanzania yetu.
Wasichana usisahau wakienda kwenye vile vyoo vya kukaa nasikia wanapanda juu yake.
Hahahahaha kumbe. Hivi mwanaume akikojoa mkono wake unachafukaje kwa sababu mimi najua nashika nyama inayo nisaidia kutoa maji nje ya mwili.Wanaogopa kuambukizwa UTI.
Hahahahaha kumbe. Hivi mwanaume akikojoa mkono wake unachafukaje kwa sababu mimi najua nashika nyama inayo nisaidia kutoa maji nje ya mwili.
Hao wanaojisaidia nje ni wachafua mazingira tu tena hao wadada ndo wanajitaftia uti vizuri sasa kila mmoja akimwaga cheche sizinawarukia na kupata magonjwaDiva hii picha ilipowekwa mara ya kwanza aliyeiweka alidai hawa warembo ni wabongo. Mimi mwenyewe nimeshuhudia hili sana katika sehemu za kujirusha, kwenye parties, au harusini na nilipojaribu kuuliza sababu ya wanawake kupendelea kufanya hivi nje badala ya washroom sababu kubwa ni kwamba vyoo vichafu, kuna watu wengi wash rooms hawawezi kusubiri, ila nakubaliana nawe kwamba wanaume tunaongoza kwe hili lakini cha kushangaza kwenye nchi za wenzetu hili jambo ni nadra sana kuliona na ukionekana unaweza kupigwa faini ya kuchafua mazingira. Pia nchi za wenzetu sehemu za kujisaidia zipo kibao ukilinganisha na Tanzania yetu.
Si na mwambia tu ukweli wakeHahahahaha acha chai basi, unamwambiaje.
Huyo le mutuz inabidi amuoe huyo mange, wenyewe wame match.kutwa kurushiana maneno back and forth, bora wamalizane le mutuz achukue jumla.maana wanayoyagombania hayana kichwa wala miguu
Why washing coz we are not used to piss on our handsNjemba nyingine zilikuja na idea kwamba Wanaume tunawe mikono kabla ya kukojoa na si baada ya kukojoa πππ na wengine wana argument kama yako kwamba kushika dudu wakati anakojoa haina maana kwamba mikono yake imechafuka, hivyo wengi hawaoni sababu ya kunawa. π±π±π±