Huyo aliyejipinda hapo atakua mgonjwa aisee
Watu maaruf haondo kina nani hao
[emoji23] [emoji23] Mkuu umjui King of all media's na queenndo kina nani hao
hivi kina dada usonii mnawekaga manini? dah huyu nae amekua kama sokwe na hayo madude usoni. kwanini hamjiamini aseee mnatutisha na hayo madude usoni sijui nani anawaambiaga mnapendeza na hayo mauchafu yenu usoni
Huyu ndo yule jamaa wanamwita ze mbululaz[emoji23] [emoji23] Mkuu umjui King of all media's na queen
Burudani.Wanaimpact gani katika Taifa?
Mange ameshampata kiboko yake huko Insta anaitwa kichwapanziiii......Mange akizungumzia marehem mama yake lemutz alivyotelekezwa na lemutuz huwa nachoka sana.