Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
yuko Finland anaitwa Emma Nkonoki baba ake alikua profesa wa UD enzi hizo yaani Ila mange kamuambia sikuchambi ng'oo ili ukose utetezi!
Nimeenda kwenye page ya mange nimeshamuona kuna wakati unaweza fikiri wanaomiliki page fake za matusi ni vijana wadogo wasio jielewa kumbe ni watu wazima kabisa ukiwaona huwezi kuwafikiria!
1472039519972.jpg
 
Nimeenda kwenye page ya mange nimeshamuona kuna wakati unaweza fikiri wanaomiliki page fake za matusi ni vijana wadogo wasio jielewa kumbe ni watu wazima kabisa ukiwaona huwezi kuwafikiria!View attachment 386927
yaani then halafu msomi tu ni project specialist na anafanya kazi na wazungu kwenye hyo kampuni daaah!
halafu ana sura ya kistaarabu mno huyu Dada!

kweli usione ukadhani!
 
- Huyu Msichana anaonewa bure, ukweli ni kwamba huyu alikuwa ni Girlfriend wa Kaka yake my ex wife, sasa my ex wife ana mdogo wake wa kike ambaye alijaribu kupata makaratasi ya Finland akashindwa lakini aakamini kwamba huyu msichana na kaka yake ndio waliomuwekea kauzibe asipate makaratasi, na huyo msichana siku zote anashirikiana na Mange kupitia my ex wife ndio aliyeamua kumchafua makusudi huyu dada kulipa kisasi cha kukosa makaratasi,

- Huyu dada wala sio Kichwapanzi cause mimi namjua Kichwapanzi sio kabisa na wala hafanani kabisa na huyu dada, inasikitisha sana kuona huyu dada anachafuliwa bila sababu, ukishazoea kula nyama ya mtu kuna siku utakula hata ya mtoto wako!

le Mutuz Nation
 
Mkuu umeandika kwamba Huyo mama hausiki na hiyo page ya matusi lakini mange amepost vizibitisho vya taarifa kutoka kwa polisi wa Finland kwamba huyo mama ndio anahusika na hiyo page
1472051106631.jpg
 
yaani then halafu msomi tu ni project specialist na anafanya kazi na wazungu kwenye hyo kampuni daaah!
halafu ana sura ya kistaarabu mno huyu Dada!

kweli usione ukadhani!
Naona lemutuz amekuja kumtete mtukana matusi mitandaoni pitia alichoandika hapo juu
 
Mkuu umeandika kwamba Huyo mama hausiki na hiyo page ya matusi lakini mange amepost vizibitisho vya taarifa kutoka kwa polisi wa Finland kwamba huyo mama ndio anahusika na hiyo pageView attachment 387014

- hamna lolote Kichwapanzi ndio kwanza anaendelea sasa kama ameshikwa anaendeleaje? hahahahahahahaha jana nimeongea naye wala hayupo huko Finland na wala hajawahi kukanyaga huko yaani huyu sasa mtu wa 20 kusingiziwa ni Kichwapanzi hahahahahahahahaha wengine pia hivi hivi alikuwa na evidence baadaye wakawa sio!!

le Mutuz
 
Tunaomjua Emma tumebaki midomo wazi[emoji43] .

Kama ndo yeye kweli basi sijui hata niseme nini tu.

Udadisi hebu njoo huku.

Can Emma really be in this mess?

If she is then she has definitely changed because the Emma I knew and know wouldn't do what she's being accused of doing.
 
Sielewi, either way it's sad, judging from ad hominem posts in Insta - maybe WhatsUp ya Watoto wa Chuo ina clarification

Hivi najiungaje la hilo grupu la watoto wa chuo? Admin nani? Niunganishe basi....
 
Akikutana na Mdada ataomba apige nae Selfie na akikutana na Mwanaume Maarufu ataomba apige nae picha na kuipost instagram mtoto wake hajui hata baba anafanya kazi gani hapa Town Kazi kujipendekeza kwa Juma Pinto na IPO siku tutaskia Le Mutuz sio Rizki

Kwa hiyo mwanae unamlipia ada na misosi?
 
Le mutuzi ndio yule babu wa miaka 55 au uyu ni mtoto wa le mutuzi anayetukanana na mange
 
Akikutana na Mdada ataomba apige nae Selfie na akikutana na Mwanaume Maarufu ataomba apige nae picha na kuipost instagram mtoto wake hajui hata baba anafanya kazi gani hapa Town Kazi kujipendekeza kwa Juma Pinto na IPO siku tutaskia Le Mutuz sio Rizki

Kwa hiyo mwanae unamlipia ada na misosi?

- Batazz za Mwanza ilikuwa balaaa live at the Gold Crest Hotel, hahahahahahaha huyo aliendika ni demu mwambie anipigie at 0717618997 nimpe batazzzz za ukweli U know hahahahaha!! - le Mutuz

Tunaomjua Emma tumebaki midomo wazi[emoji43] .

Kama ndo yeye kweli basi sijui hata niseme nini tu.

Udadisi hebu njoo huku.

Can Emma really be in this mess?

If she is then she has definitely changed because the Emma I knew and know wouldn't do what she's being accused of doing.
hivi baby wangu wa USA hii barua ni ya polisi kweli?
 
Akikutana na Mdada ataomba apige nae Selfie na akikutana na Mwanaume Maarufu ataomba apige nae picha na kuipost instagram mtoto wake hajui hata baba anafanya kazi gani hapa Town Kazi kujipendekeza kwa Juma Pinto na IPO siku tutaskia Le Mutuz sio Rizki

- Batazz za Mwanza ilikuwa balaaa live at the Gold Crest Hotel, hahahahahahaha huyo aliendika ni demu mwambie anipigie at 0717618997 nimpe batazzzz za ukweli U know hahahahaha!! - le Mutuz

mbebi mbona hupokei simu nije downtown kulala nawewe kwenye le apartment?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom