e mburulaz amekutwa Posta anatoa copy vyeti Sasa sijaelewa nahisi alikuwa ana tengeneza sio anatoa copy maana copy ya nini ???
kimenuka!
Baba anatumwa na watoto wake, kweli akili ndogo ni shida
e mburulaz amekutwa Posta anatoa copy vyeti Sasa sijaelewa nahisi alikuwa ana tengeneza sio anatoa copy maana copy ya nini ???
ulidhani lile tumbo la nini?ndio kusema le mutuz ni punda?!au...
dhl kakaLe Big Boss Le Big Man Mwili Jumba Pesa Mingi eti yule demu anasema utume picha za graduation au ulikuwa unatumiwa vyeti posta
dhl kaka
Le Big Boss Le Big Man Mwili Jumba Pesa Mingi eti yule demu anasema utume picha za graduation au ulikuwa unatumiwa vyeti posta
Eti anasema alipokuwa anaomba ubunge wa East Africa alisema ana Degree moja aliogopa kutaja zote tatu ange over qualify
huyu kaka huwa namkubali kwa jambo moja, huwa ana uwezo mkubwa wa kumeza hasira, wengine nyuma ya hizi id feki tukitukanwa siku inakuwa chungu!
- Kwenye kugombea ubunge wa East Africa tulitakiwa kujaza fomu na kuweka our education then hatukuulizwa tena zaidi ya Experience za siasa, so sio valid argument hahahahahahah
le Mutuz