Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
13269333_600559363442397_219513603_n.jpg
e mburulaz amekutwa Posta anatoa copy vyeti Sasa sijaelewa nahisi alikuwa ana tengeneza sio anatoa copy maana copy ya nini ???

Le kubwa jingaz, Le Tumbo kama kirobaz cha kubeba cocainzzzz..... Leo ameingia choo cha kike......

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Haaaahaaa u know umekamatwazzzz angalia hapa kitu kutoka kwa mange K,
We baba unajiaibishaaaaaa Sasa hii ni degree???? ...nimechekaaaaaa Huyu Kweli Le mburulaz ... Tuseme cheti ni cha Kweli sio feki hii ni degree Sasa??? Kwa Marekani hii inaitwa associate degree Tena ya community college wala sio ya chuo kikuuuuu... Kwa bongo ni Sawa na advanced diploma. Sasa Ndo hi unawaambiaga watu una degree sijui ya criminology?? Degree ya Marekani unaichezea wewe?? degree ya Marekani unayo Unadhani ungekuwa unaendesha magari ya kunyonya mavi Marekani na ulivyopandishwa daraja ukaanza kuendesha magari ya Taka? Mtu mwenye degree ya mmarekani anaendesha gari za kuzoa Taka?? Jiheshimu we mzeeeeeee. Kwendraaaaaaa.. By the way vyeti is nothing watu wana vyeti vya Harvard na hawajui hata Harvard iko state gani? . Umeombwa graduation photos, Au Utuambie ndugu na marafiki waliokujaga kwenye graduation zako... au wewe mwenzetu vyeti ulipokeaga Posta???
 
13269333_600559363442397_219513603_n.jpg
e mburulaz amekutwa Posta anatoa copy vyeti Sasa sijaelewa nahisi alikuwa ana tengeneza sio anatoa copy maana copy ya nini ???

- Leo siku nzima nilikuwa Masaki Vodacom Shop natengeneza Video ya 4G so huyo aliyekuwa Posta sio mimi ndio kwanza nimerudi Posta now hahahahahahah na nipo ofisini kwangu

le Mutuz
 
nakuaminia le mutuz hivi ile ofisi pale luther house nayo ni yako?
 
- Leo siku nzima nilikuwa Masaki Vodacom Shop natengeneza Video ya 4G so huyo aliyekuwa Posta sio mimi ndio kwanza nimerudi Posta now hahahahahahah na nipo ofisini kwangu

le Mutuz
Hongera, nasikia hata lile jengo la Benjamin tower pale Posta ni la kwako?
 
- Leo siku nzima nilikuwa Masaki Vodacom Shop natengeneza Video ya 4G so huyo aliyekuwa Posta sio mimi ndio kwanza nimerudi Posta now hahahahahahah na nipo ofisini kwangu

le Mutuz

Le Big Boss Le Big Man Mwili Jumba Pesa Mingi eti yule demu anasema utume picha za graduation au ulikuwa unatumiwa vyeti posta
 
Eti anasema alipokuwa anaomba ubunge wa East Africa alisema ana Degree moja aliogopa kutaja zote tatu ange over qualify

- Kwenye kugombea ubunge wa East Africa tulitakiwa kujaza fomu na kuweka our education then hatukuulizwa tena zaidi ya Experience za siasa, so sio valid argument hahahahahahah

le Mutuz
 
- Leo siku nzima nilikuwa Masaki Vodacom Shop natengeneza Video ya 4G so huyo aliyekuwa Posta sio mimi ndio kwanza nimerudi Posta now hahahahahahah na nipo ofisini kwangu

le Mutuz
huyu kaka huwa namkubali kwa jambo moja, huwa ana uwezo mkubwa wa kumeza hasira, wengine nyuma ya hizi id feki tukitukanwa siku inakuwa chungu!
 
- Leo siku nzima nilikuwa Masaki Vodacom Shop natengeneza Video ya 4G so huyo aliyekuwa Posta sio mimi ndio kwanza nimerudi Posta now hahahahahahah na nipo ofisini kwangu

le Mutuz
Hahaha umeuwa....
 
- Kwenye kugombea ubunge wa East Africa tulitakiwa kujaza fomu na kuweka our education then hatukuulizwa tena zaidi ya Experience za siasa, so sio valid argument hahahahahahah

le Mutuz

Sasa mkuu ebu mpe hizi fact yule kichaa aache kupakazia watu... Naona amekuandama sana tangia ishu ya Dr. Mwaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom