Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
Huyu Mange huwa simuamini kabisa kwa kuzusha tuu hajambo ngoja lemutuz atapambana nae Teh Teh....
 
Mh,huyu binti ,sijui mama ana matatizo gani hivi?,
au wana bifu na huyu le mutuz?
 
Huyo bi machuki mara moja moja awe na ushaidi basi
 
pole le mutuz kwa kuanikwa. halafu inaonekana kumbe uliacha udreva kule NYC ili uwe punda!?
 
Hahaha jamaa anapendwa sana humu haki! Mimi mwenyewe nafurahishwa sana na majibu yake na huwa hakosi jibu! Kama hizo tuhuma za Mange atazijibu zote na watu watabaki wanacheka tuu! Hapo hakuna tuhuma ngumu kwake!

Hakika jamaa ni bonge la celebrity.

Hahahaaa......sitashangaa kabisa kama kuna watu ambao humwota usiku wakiwa wamelala.
 
Mzigo?..mi navuta hisia tu kuna nyimbo ameimba suma mnazaleti..ikianza tu..."Ni tofauti na jana hatutofanana shida zote za jana sizikumbuki tena.anaoneka kijana anaweka mzigo juu ya kibaraza kirefu baada ya mda anapita mtu anauchukua"na hiyo ni south pia..labda ndo mizigo hiyo inayompa shishi show ubelgiji wakati jide anaishia kenya.
 
Le Mutus kapiga picha akiwa kwenye apartment akai-upload insta akidai ni yake! Jaribu kusoma ''kichambo'' alichoshushiwa na Mange ili uzidi kuunganisha vile vi-dots vyako:
  • mangekimambi_ Eti apartment yake... Jiheshimu wewe!!!! Una hela ya kununua apartment downtown wewe??Apartment ya Juma Pinto. Juma anazo apartment mia Kidogo mjini hapo . Anazigawaga Kama karanga . Zingine ziko vacant hazina mtu. Nna rafiki yangu alitafutiwa moja na huyo huyo Juma. Mwingine namjua na yeye kapewa bure na Juma anakaaaa Ila siku Juma akiitaka apartment yake anaondoka. Ila Mwenzio ni mwanamke ...Najua nachokiongea wewe usidhani nabahatisha.
    Eti apartment yako Embu rusha contract ya kununua. Wewe hizo apartment mtu akifatilia NHC anajua aliuziwa nani na anayo nani. Jiheshimu utaumbuka zaidi. Mali uliyonayo dunia hii ni nyumba ya kinyerezi ambayo umejenga na mkeo Kwa Hiyo wala sio yako peke yako ni yako na ex wako tena ina jina la Watoto Kwa Hiyo hata sio yako vile vile na ulivyo Le Mburulaz mmejenga nyumba kwenye kiwanja cha kupewa na wazazi wa mwanamke. Yani nyumbani Kwao . Sasa mke mmeachana nyumba iko Kwao. Kazi ipo .....We jiteteeee mpaka uchoke Ila watu wa mjini kibaoooo wanajua apartment ni ya Juma Pinto. Nyoooo ulidhani Siri?? .... Sikuona haja ya kukuuumbua kustiriwa na mwanaume mwenzio sababu ni Maisha tu Ila ukaona unichokonoe mpaka nikusemeee mbovu ...
    .
    .
    Haya jieleze hapa mbele ya kadamnasi kilichokupeleka South Africa ukapokelewa airport na Kinje Ngombale Mwiru na ukawa na Kinje 24 hrs huko SA ( bado sijapata confirmation Kama ulifikia Kwa Kinje Au Kama ulikaa hotelini) ulienda South Africa April 17 2016 na ukarudi Tanzania April 19 2016, uliingia Dar usiku so ukaenda home ukalala mchana wake ukawahi Msoga kwa Ridhwani na Mzigo. Mzigo gani?? Mi sijui. Mnajua wenyewe.Na Ueleze mbele ya kadamnasi kilichokufanya usirushe mipicha Picha ya safari Au ukiwa South Africa?? Kwa nini ulifanya Siri Safari ya South Africa na wakati wewe ni mtu wa show off??? Why kimya kimya ????? Wakati wewe ni mtu wa kujijaza insta utasema demu??
    .
    .
    Usidhani kwa vile sikutumbuagi labda sijui issue zako ndo unaanza kunizoea mpaka matakoni. Nilikuwa nakustahi kindugu ndugu Ila wewe hutaki tuheshimiane...

- hahahahahahahah Instagram ina safari yangu nzima ya South Africa hakuna kilichofichwa hata kimoja, nilienda mwenyewe Johannesburg na nikafikia Maslow Hotel, siku nilipofika Kinje alinialika nyumbani kwake jioni tukachoma nyama nilirudi Hotelini kwangu nikaungana na Mshikaji wangu Mo na kina Petitman,

- Sikumuona tena Kinje mpaka naondoka kesho yake nikakutana na Kampuni ya Glenfiddich Whiskey kama nilivyopanga nao Tarehe 19 nikarudi, hizi habari ni za Isntagaram sasa naona yeye kazifanya kama vile yeye ni Spy zilikuwa siri please hahahahahaha poleni sana mnaomsikiliza this is a big joke

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom