Anayejiita Dr.Mwaka anawapata sana akina mama,anatumia udhaifu na machungu waliyonayo kuwaangamiza kabisaa yaani huyu jamaa ana dhambi sana. Kuna mama mmoja hapa jirani yangu hana hamu naye,alimpa dawa nyingi kama ndoo ya lita 20 eti ni dawa ya fibroid.
Niko kinyume kabisa na watu wanaojiita waganga pasipo elimu hiyo kama mzee wa Loliondo,dr. Ndodi,mama ateri nk,wanaupotosha umma kwa kiasi kikubwa.
Jamii ielimishwe iwakatae waganga hawa,kwa sasa huduma za afya zinaboreshwa mahospitalini na madawa yatapatikana.
Meanwhile endeleeni kufa untill further notice.....