ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #181
- Ina maana na wewe ni mpumbavu maana haiwezekani ukatoa mishipa na mapovu na wewe sio mpumbavu hahahaha
le Mutuz
Unamuhukumu Naibu waziri kwa kusikiliza mtu wa instagram Kweli? Katika dunia ya sahizi ya utandawazi unataka bado watu wawe wanatembea hadi wizarani kwenda kupeleka kero zao?
Naibu waziri ni mchapa kazi hachagui wapi kwa kusikilizia Kero na huwezi mpangia kuwa kero za instagram asizisikilize kuwa Serious