Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
- Ina maana na wewe ni mpumbavu maana haiwezekani ukatoa mishipa na mapovu na wewe sio mpumbavu hahahaha

le Mutuz

Unamuhukumu Naibu waziri kwa kusikiliza mtu wa instagram Kweli? Katika dunia ya sahizi ya utandawazi unataka bado watu wawe wanatembea hadi wizarani kwenda kupeleka kero zao?

Naibu waziri ni mchapa kazi hachagui wapi kwa kusikilizia Kero na huwezi mpangia kuwa kero za instagram asizisikilize kuwa Serious
 
dr mwaka anamambo...eti anatoa dawa ya kufanya down there kwa mwanamke kuwe na utamu..jaman si kufuru hii, kuumba aumbe Mungu. utamu aweke mwingine....
 
Hili jambo limeshafika kwa Wahusika Sahizi lipo kisheria linasubiri sheria ifuate Mkondo wake

Mbona wewe mwenzetu huko instagram hutulii kila siku kila leo wewe Ni kupost kuhusu kumtetea Dr Mwaka na kumponda Naibu waziri unataka aombe hadi radhi akati jambo bado halija amliwa kisheria hivi wewe ni nani Hadi uwe juu ya sheria

Mbna muhusika kakaa kimya lakini wewe kila siku ni kumtetea kwanini usisubiri Maamuzi yafanyike ndo uje uandike yale unayo yaandika Boy are u serious kweli?

Wewe ni Msomi kweli? Kumbuka mambo ya kisheria hayanaga siasa wala urafiki unaijua RULE OF LAW vizuri kweli? Mbona kama unamlazimisha Naibu waziri kuharakisha kuchukua Maamuzi Akati bado analishughulikia?

Hebu acha hiyo kitu wewe ni mtu mzima bhna kaa mbali na sheria acha viongozi wafanye kazi ake

Msamehe bure!degree zake na impact kwenye jamii yake haviendani..bwahahahaaa
 
dr mwaka anamambo...eti anatoa dawa ya kufanya down there kwa mwanamke kuwe na utamu..jaman si kufuru hii, kuumba aumbe Mungu. utamu aweke mwingine....

Amegeuza nyeti za watu kama mboga yaani unaunga tu utakavyo mara makokwa ya embe mara vitunguu swaumu sikutaoza sasa.....ile kitu inautamu naturally jamani nimesikitishwa sana
 
Amegeuza nyeti za watu kama mboga yaani unaunga tu utakavyo mara makokwa ya embe mara vitunguu swaumu sikutaoza sasa.....ile kitu inautamu naturally jamani nimesikitishwa sana

Anaweza akasababisha cancer kwa wanawake na wabongo wanavo penda kupepelea ndoa Wengi wataweka! Mwanamke ana feel utamu toka kwa mwanaume na mwanaume toka kwa mwanamke sasa huo utamu wa kupikwa khaa
 
huwezi shindana na mtu mwenye degree 3, u know haaa haaa, i'm humbled.
 
dr mwaka anamambo...eti anatoa dawa ya kufanya down there kwa mwanamke kuwe na utamu..jaman si kufuru hii, kuumba aumbe Mungu. utamu aweke mwingine....

heheh labda yeye anaubusti tu huo utamu
 
Afu huyu Le Mutuzi Sijui Yupo Jambo lipo Serikalini Linasubiri Sheria ifuate Mkondo wake Lakini yeye hatulii kila siku kila Leo lazima Apost kitu kinacho husu Kumtetea Dr mwaka Hapa ndo naamini kuwa kalipwa

Sahizi anataka Naibu waziri aombe msamaha yeye ni nani Hapa nchini kwanini Asisubiri sheria ifuate mkondo wake?
Huyo mzee msameheni , ukishamjua mbona hakupi shida .Degree 3 analamba viatu watu wenye certificate za google.
 
Le mutuz akizidiwa huwa ana ID yake humu maalum kwa vita ....hiyo akishuka nayo lazima utoke nduki ...hiyo hutumika wakati wa vita ni vita muraa....
 
Hahahahhahaha

uknw wewe ni genious..

Uknw akili ndogo wana hangaika kudhani ni mimi uknw...

Uknw watu wachache wenye akili kubwa kama wewe ndio wanaweza kujua haya!



Uknw wewe ni akili kubwa kama mimi lazima nikupe zawadi nina sinu nilipewa na huwawei tukutane double tree nikupe..



Uknw..mimi ni mtu maarufu sana na leo hii kupitia hii post nimepata deal la pesa..

Uknw nawashukuru sana..



hahahahahaha !

le big show..


Hahahhahahahahahha mkuu umejivisha uhalisia utafikiri ni mwenyewe le akili kubwa.

Unanivunja mbavu huku kwa kicheko. Haya maisha ya kupambana na akina Mange huko instagram yatamgarimu jamaa big time.
 
Teh teh teh Mbona kama unakuwa Mwongo Sana!

Leo wewe wakusema Humfaham Mange? hujui hata aliko kwa sasa?

Unakumbuka ile siku Mange kakamatwa na polisi uliandika nini kwenye ukurasa wako wa Instagram?

Unakumbuka ulitwambia ulienda kumuona pale kituoni?

Unakumbuka ulitwambia mpo mnashughulikia swala la kumuwekea dhamana ili atoke na ukatuahidj kupitia ukurasa wako wa instagram kuwa ukikamilisha utakuja kulizungumzia hio kitu

Baada yake ulikuja na kusema kuwa Watu wengi wamekushauri usizungumzie ile ishu

Unakumbuka baada ya ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu ulipost nini kuhusu Mange na kumpa sifa kibao

SWALI: JE unawezaje kufanya hayo yote kwa mtu usiemfaham? usie jua hata wapi anaishi? usie jua hata wapi alipo sasa?

- Nonsense kwenye my Social Media outlets unajua ninapost habari za watu wangapi ambao siwajui wala sijawahi kuwaona? I mean wewe ni mzima kweli? Yaani watu wanapo post watu kwenye Social Media ni kwa sababu wanawajua? hahahahaha mburulazzzzzz

le Mutuz

Non sense reply. Zero Mind
 
sometimes, mange ni Jembe aisee..😛oa mange ni Asset
 
Hahahhahahahahahha mkuu umejivisha uhalisia utafikiri ni mwenyewe le akili kubwa.

Unanivunja mbavu huku kwa kicheko. Haya maisha ya kupambana na akina Mange huko instagram yatamgarimu jamaa big time.

- Mange ameniongezea new followers 5,000 it means Extra Tsh. 200,000 to all my deals ya matangazo niliyonayo, mengine ni ya kawaida yatapita sisi ni kuvuta pesa U know inaitwa wajinga ndio waliwao hahaha!!

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom