- nikiwabana mbavu mnakuwa watoto wadogo hahahahahahahahaha umetisha sana hahahaha
le Mutuz
Ha ha haaaaaaaa
Mbavu umebanwa na Mange mkuu
Piga kazi mkuu, maana mwenzetu ndio upo kazini hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- nikiwabana mbavu mnakuwa watoto wadogo hahahahahahahahaha umetisha sana hahahaha
le Mutuz
yani we bonge kazi yako ni kutumwa tumwa tu na wanaume wenzako,, huyo unaemtetea dr mwaka ana drive range rover sport we unatokwa povu huku na kinoah chako ulichohongwa na davis mosha
- Sijawahi kuchanganya mambo ndio maana hapa ninapoandika I make money je na wewe unafanya hivyo au unaandika for fun?
le Mutuz
- pure mburulazzzz sikujui wala sikufahamu nimekublock cause uliandika ujinga na sina business na watu wajinga wasioweza kuona opportunity, mtu mzima unajaza bundle kujakutumia majina ya bandia ni mjinga I have no time for ujinga kwenye my insta, pole sana wala hata sijui wewe ni nani cause nina followers wengi sana! hahahahahah
- Mimi ni Big Celeb. ndio maana unaona hii thread tayari ndio habari ya mjini sasa hivi viewers karibu 8,000 sasa wewe mtu mmoja kwanza hujulikani sio Celeb wa nini ndio maana nimekublock
le Mutuz
- Dr. Mwaka ni rafiki yangu na my Client mimi sio mjinga kama wewe wa kuambiwa na Mange na kuamini, nimemuuliza Dr. MWaka leo ukweli wote kuhusu hizi tuhuma amekataa na amenionyesha ushahidi wa kutosha kwamba anafanya mambo yako kihalali,
- Now lets say kwa mfano wewe huniheshimu tena sikujui wala hujulikani unatumia jina la bandia, ninatakuwa kufanya nini now kulia machozi kwamba kuna mtu anatumia jina la bandia JF haniheshimu tena so nianze kulia? hahahahaha
le Mutuz
- Sijawahi kuchanganya mambo ndio maana hapa ninapoandika I make money je na wewe unafanya hivyo au unaandika for fun?
le Mutuz
muheshumuni le mutuz ni mtu mwenye familia na watoto kumuita mburulazz sio heshima na vilevile ni.mtoto wa waziri mkuu mstaafu kumbukeni na nyie mna familia msije kuaibishwa kama le mutuz
muheshumuni le mutuz ni mtu mwenye familia na watoto kumuita mburulazz sio heshima na vilevile ni.mtoto wa waziri mkuu mstaafu kumbukeni na nyie mna familia msije kuaibishwa kama le mutuz
Ana watoto????? hao watoto tabia zapo zipoje Tupe mkuu
Yeye sio wa kwanza kua mtoto wa kiongozi teh teh teh
- HAHAHAHAHA salute man, sijawahi in my life kujihusisha na Mange nilisema siku nyingi na ninarudia kwamba kwa sababu ana mahusiano ya karibu sana na my sister sitamgusa wala kumjibu na sijawahi, kumtafuta siwezi cause simjui na wala sijui yupo wapi au namba yake sina na wala sijawahi kumpigia in my life. Kama kuna anayemjua hapa amuulize kama in my life nimewahi hata kuzungumza naye sasa iweje nianze juzi?
- Dr. Mwaka ni my Client wa muda mrefu sana, siamini kwamba anatuhumiwa kwa tuhuma za ukweli siamini kwamba aliruhusiwa kuwa mpaka na kiwanda cha dawa huku hana sifa zinazotakiwa ndio maana ninamtete na hata leo nimemuuliza amenionyesha all needed documents za kazi zake, nimeishi sana USA ambako nilifundishwa "INNOCENT UNTIL PROVEN BEYOND REASONABLE DOUBT OF GUILTY"
- Mengine ni ukifanya biashara ya Samaki lazima utanukia harufu ya Samaki, Social Media ina FAIDA na HASARA zake ila kwangU FAIDA ni kubwa kuliko hasara na leo ndio kwanza ninaingia mikataba miwili mipya na TANAPA pamoja na DAWASCO, so nipo sawa sana U know!!
- IF ANYTHING NINAMSHUKURU KWA KUNIONGEZEA UMAARUFU
le Mutuz
- Kama kuna hoja muhimu in all this ni kwamba kaniongezea followers 2,000 which is good for my Social Media business, mengine ni wast of my time ok inaonekana huna kazi mkuu zaidi ya kuhangaika kwenye mitandao kutafuta habari za watu hahahah
le Mutuz
Loh umeua Mkuu...
Sioni na sielewi kabisa kwanini Dr. Mwaka anaandamwa namna hii.
If at all you are a big celebrity, why are behaving like a baboon ? Please William if you fail to maintain your status,then try to maintain the status of your parents ! " tell me your friends i will tell you who you are" that aplies to tell me your parents, i will tell who you are!
- HAHAHAHAHA salute man, sijawahi in my life kujihusisha na Mange nilisema siku nyingi na ninarudia kwamba kwa sababu ana mahusiano ya karibu sana na my sister sitamgusa wala kumjibu na sijawahi, kumtafuta siwezi cause simjui na wala sijui yupo wapi au namba yake sina na wala sijawahi kumpigia in my life. Kama kuna anayemjua hapa amuulize kama in my life nimewahi hata kuzungumza naye sasa iweje nianze juzi?
- Dr. Mwaka ni my Client wa muda mrefu sana, siamini kwamba anatuhumiwa kwa tuhuma za ukweli siamini kwamba aliruhusiwa kuwa mpaka na kiwanda cha dawa huku hana sifa zinazotakiwa ndio maana ninamtete na hata leo nimemuuliza amenionyesha all needed documents za kazi zake, nimeishi sana USA ambako nilifundishwa "INNOCENT UNTIL PROVEN BEYOND REASONABLE DOUBT OF GUILTY"
- Mengine ni ukifanya biashara ya Samaki lazima utanukia harufu ya Samaki, Social Media ina FAIDA na HASARA zake ila kwangU FAIDA ni kubwa kuliko hasara na leo ndio kwanza ninaingia mikataba miwili mipya na TANAPA pamoja na DAWASCO, so nipo sawa sana U know!!
- IF ANYTHING NINAMSHUKURU KWA KUNIONGEZEA UMAARUFU
le Mutuz
- Kwa mujibu wa Google nina followers 500,000 ndani ya Social Media kila siku, imagine hata bila wewe sina tatizo kwenye Instagram yangu ukiandika ujinga nakuondoa maana sihitaji followers mizigo kama wewe
le Mutuz