Haya sasa kumekucha instagram......Mzee wa degree 3 yupo katika mpambano wa hatari na Mkimama Mange Kimambi huko instagram kuhusu swala la Dr.mwaka
Naona mzee wa degree 3 anamtetea sana Dr.mwaka kwa hali na mali huku Mkimama wetu Mange kimambi Akimkosoa vibaya sana Dr Mwaka akidai elimu ake kapata Google!
Mzee wa degree 3 anaonekana sana kumtetea Dr.Mwaka hadi akaamua kumpigia simu Mange ili aache kile anacho kifanya kwani ana Contract inabido asign kwa Dr.Mwaka
Mange hajakausha kaamua Kumumbua Le Mutuzi kwa Kupost text zote alizotumiwa na kujibu
Baadae kidogo baba la baba Mtu munene Akajibu kuwa hizo ni text za kutengenezwa na akidai Mange kazitengeneza yeye hajawahi kumpigia simu Mange wala kuchat Nae ila anakiru kuwa Namba ni yake
Kabla hilo halijakaa sawa Mama la Mama Mange kimambi Akarudisha mapigo kwa kupost Video ikionesha kupitia Iphone ake anafungua app ya whatsapp then anaenda kwenye conversations anatafuta namba ya Le mutuzi Mara vuuu Aniona hii hapa Anaifungua na kuonesha kuwa kile alicho screenshot ni cha kweli pale hata mimi Naamini ile Conversation siyo ya kutengenezwa ni ya kweli
Baba la baba baad ya kuona hilo akajibu tena kwa majigambo
Najaribu kusoma Comment za watu insta kwa page ya Le mutuzi naona watu wamevurugwa wapo teari kama niblock wapigwe tuuu Ila wanadai Le mutuzi na Dr mwaka Nijibu na Mange analitumbua
Jamani siwezi kuelezea yote ila Kifupi ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu Le mutuz Kashikwa vibaya sana huko ingekuwa vita Angekuwa kashindwa
Mange pamoja kupelekewa dau la pesa lakini Kagoma kufuta post anasema anataka kuwatetea akina mama wote
Katishiwa uchawi lakini bado hebu nendeni huko insta mkaone
Mange Kaweka pia link inayo onesha elimu ya Dr Mwaka
Home