Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
Sioni na sielewi kabisa kwanini Dr. Mwaka anaandamwa namna hii.
 
Sioni na sielewi kabisa kwanini Dr. Mwaka anaandamwa namna hii.
Mwanzo Mange alivyoanza kumuandama nilijua ni bifu/chuki binafsi...Ila kwa hili lililotokea nimeona ni sahihi alichokuwa anakifanya Mange...Kama jamaa yuko clean kwa nn akimbie?
 
Alichokosea huyu Mangi ni ku expose private masseges kwenye public kihivyo, hii inaonyesha akili zake zilivyo kama kuku.
 
Le mutuz ni akili fupi sana...mi nashangaa wanomsifia huyu kubwa jinga..yaani hua linakurupuka likidai ni facts ukilichallange kidogo linakublock..limezoea akili mburulaz kulisifia tu.
 

Hahhahahahaaa loh
 
Hahaha hili lijamaa lina akili fupi sijawai ona
 

haa haa uwiii....le akili kubwazzzzz
 

Nenda kwenye Account ya mange insta Kaweka Video nayo usipo Amini duuu!
 
Mwanzo Mange alivyoanza kumuandama nilijua ni bifu/chuki binafsi...Ila kwa hili lililotokea nimeona ni sahihi alichokuwa anakifanya Mange...Kama jamaa yuko clean kwa nn akimbie?

Swali la msingi sana...kama anaona yupo clear kwa kila kitu kwann akimbie....Ngoma ikiwambwa sana mwishowe hupasuka....sijui atajiteteaje
 

Le mutuz anajifanyaga mwanaharakati na mtetezi wa wanyonge, leo mbona kama simuelewi😂😂😂😂😂😂
 
Le mutuz anajifanyaga mwanaharakati na mtetezi wa wanyonge, leo mbona kama simuelewi😂😂😂😂😂😂

Kabanwa kila mtu anamuandama Lakini Jamaa mbishia sana!
 
Uyu let mutuz miye aliniblock instagram hapendi challenge yeye kila afanyalo akaitaji makofi sasa akikutana na challenge huwa anapanic

Mwambieni hii inchi sasa haitaji ujanja ujanja

Same mm jana
Nilimchallenge hii ishu ya Dr.Mwaka with facts as he usually prefers, cha ajabu asubuhi nakuta kani block
 

Umesahau kumalizia


Kuna mwenye tatizo huko.....le mutuz
 
Sasa mange kimambi ndo anatishwa na dr mwaka na lemutuz
Idi azani mwenyewe ali sanda kwa huyo dada baada ya kumwambia anauza sembe aliwekwa ndani lakini wapi mange ni next level labda magufuli aingilie kati ila hao hawawezi kumzuia mange
 

- HAHAHAHAHA salute man, sijawahi in my life kujihusisha na Mange nilisema siku nyingi na ninarudia kwamba kwa sababu ana mahusiano ya karibu sana na my sister sitamgusa wala kumjibu na sijawahi, kumtafuta siwezi cause simjui na wala sijui yupo wapi au namba yake sina na wala sijawahi kumpigia in my life. Kama kuna anayemjua hapa amuulize kama in my life nimewahi hata kuzungumza naye sasa iweje nianze juzi?

- Dr. Mwaka ni my Client wa muda mrefu sana, siamini kwamba anatuhumiwa kwa tuhuma za ukweli siamini kwamba aliruhusiwa kuwa mpaka na kiwanda cha dawa huku hana sifa zinazotakiwa ndio maana ninamtete na hata leo nimemuuliza amenionyesha all needed documents za kazi zake, nimeishi sana USA ambako nilifundishwa "INNOCENT UNTIL PROVEN BEYOND REASONABLE DOUBT OF GUILTY"

- Mengine ni ukifanya biashara ya Samaki lazima utanukia harufu ya Samaki, Social Media ina FAIDA na HASARA zake ila kwangU FAIDA ni kubwa kuliko hasara na leo ndio kwanza ninaingia mikataba miwili mipya na TANAPA pamoja na DAWASCO, so nipo sawa sana U know!!

- IF ANYTHING NINAMSHUKURU KWA KUNIONGEZEA UMAARUFU

le Mutuz
 

- nonsense!!

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…