Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
Babu mbona ile screenshot yako ya msg uliyoitoa kwa Mange uliifuta baada mange kuweka video???

Mjini raha watu wanaishi kwa ufadhili u know

Achana kabisa na akili kubwa

Cc: Ruttashobolwa

- Hapa mjini ninaishi kwa kazi zangu kama kulipwa kwa kazi ni kufadhiliwa then kweli, sina muda wa kubishana na Mange never umeona kuna popote nimemjibu? I make money kwanza mambo ya kurushiana maneno nilishayapita siku nyingi sana now ni businesss kwanza

le Mutuz
 
Kuna jamaa yangu huku bleiz aliwahi kumuambia kuwa abadilishe pose, kila akipiga picha mikono iko kifuani,hazikupita hata dakika 5 akakuta keshablokiwa.
Ndio maana followers wake hawaongezeki,mimi huwa namsoma kimyakimya tu.

- Kwa mujibu wa Google nina followers 500,000 ndani ya Social Media kila siku, imagine hata bila wewe sina tatizo kwenye Instagram yangu ukiandika ujinga nakuondoa maana sihitaji followers mizigo kama wewe

le Mutuz
 

- Kuna mambo mengine ni commonsense zaidi, Naibu Waziri ni rafiki yangu ndio maana sijamshukia hivi inakuingia akilini Waziri anataka kujua kama private Doctor yupo sawa anaenda kumvamia na Media zote what is that? I mean tumia akili kidogo kama sio commonsense

le Mutuz
 
- Kwa mujibu wa Google nina followers 500,000 ndani ya Social Media kila siku, imagine hata bila wewe sina tatizo kwenye Instagram yangu ukiandika ujinga nakuondoa maana sihitaji followers mizigo kama wewe

le Mutuz

Wanao ku follow nao akili ni fupi tu kama zako.
 

Hahahahaaa le mutuz upo Mheshimiwa???

Le big boss mjini anaetembelea Noah!
 
Last edited by a moderator:

Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime...mlisapotiana sana kipindi cha kampeni....Muyamalize tu...
 
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime...mlisapotiana sana kipindi cha kampeni....Muyamalize tu...

- Nilimsifia kwa kazi ya kampeni that is all, sina zaidi na wala simfahamu kabisa wala sijawahi hata kuongea naye infact hata nikikiutana naye mtaani sijui anafananaje

le Mutuz
 
- Nilimsifia kwa kazi ya kampeni that is all, sina zaidi na wala simfahamu kabisa wala sijawahi hata kuongea naye infact hata nikikiutana naye mtaani sijui anafananaje

le Mutuz

Maana kakudhalilisha utamchukulia hatua?
 
Heheheeeeee Imbombo Jilipo ! No COMMENT

Le mutuzzzz NAMPENDAGA MPAKA NAFWA
Mange ni Mchizi wangu wa Habare za Wana Darisalama .....kiruuuuuuu NO COMMENT NAWAPENDAJE WOTE !
 
Heheheeeeee Imbombo Jilipo ! No COMMENT

Le mutuzzzz NAMPENDAGA MPAKA NAFWA
Mange ni Mchizi wangu wa Habare za Wana Darisalama .....kiruuuuuuu NO COMMENT NAWAPENDAJE WOTE !
apaa mmawomi!!
 

Teh teh teh Mbona kama unakuwa Mwongo Sana!

Leo wewe wakusema Humfaham Mange? hujui hata aliko kwa sasa?

Unakumbuka ile siku Mange kakamatwa na polisi uliandika nini kwenye ukurasa wako wa Instagram?

Unakumbuka ulitwambia ulienda kumuona pale kituoni?

Unakumbuka ulitwambia mpo mnashughulikia swala la kumuwekea dhamana ili atoke na ukatuahidj kupitia ukurasa wako wa instagram kuwa ukikamilisha utakuja kulizungumzia hio kitu

Baada yake ulikuja na kusema kuwa Watu wengi wamekushauri usizungumzie ile ishu

Unakumbuka baada ya ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu ulipost nini kuhusu Mange na kumpa sifa kibao

SWALI: JE unawezaje kufanya hayo yote kwa mtu usiemfaham? usie jua hata wapi anaishi? usie jua hata wapi alipo sasa?
 

Jana kama sa Nane usiku kama sio sa saba Mange alipost Video ambayo ilikuwa ikionesha kuwa anachukua Iphone ake anafungua whatsapp anatafuta conversation yako anaiona anaifungua anaonesha kwa kuslide kupanda juu na kushuka ambayo ni sawa na ile screenshoot vipi nayo unabisha pia?
 

- Nonsense kwenye my Social Media outlets unajua ninapost habari za watu wangapi ambao siwajui wala sijawahi kuwaona? I mean wewe ni mzima kweli? Yaani watu wanapo post watu kwenye Social Media ni kwa sababu wanawajua? hahahahaha mburulazzzzzz

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…