Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.

- Kwa hiyo ukifanya haya ni FACT kwamba anayoyasema ni kweli? Jamani hivi siku hizi JF imeingiliwa na watu wa aina gani wewe ni mzima kweli? Video alirekodiwa na nani na ilikuwa wapi na saa ngapi? Nenda Facebook na Isntagram uone watu wangapi wanatumia jina langu na siwajui? please tumia basi hata busara kama huna akili

le Mutuz
 

Mbna jana umemjibu kwa kupost Ile screenshoot?

Na baadae ukandika vingine hapo vipi mkuu unasemaje

Na ulivyo kwenda kituoni kule alikokamatwa na polisi hukuongea nae unaposema hunawahi kuongea nae unamanisha nini

Jana si umepost kuwa ni ndugu yako yule ulijuaje kuwa ni ndugu ako ukiwa hujawahi ongea nae?
 
Kama kweli anaonewa nadhani ni vyema mwenyewe ajitokeze kwenye media na kuweka vitu clear Zaidi ya hapo sidhani kama utetezi wako una maana..Kauli ya Dr mwenyewe itakuwa na uzito zaidi..Na kama kweli tuhuma si za kweli basi waliomchafua inabidi wamsafishe.
 
- Nilimsifia kwa kazi ya kampeni that is all, sina zaidi na wala simfahamu kabisa wala sijawahi hata kuongea naye infact hata nikikiutana naye mtaani sijui anafananaje

le Mutuz

Teh teh teh Mkuu humfahamu hata anafananaje mtoto wa dada ako wa Damu?

Mbna baada ya kampeni ulimsifia kwa kuweka Picha ake kabisa Vipi hapa pia hufahamu hata anafananaje?
 
Asante Le Mutuz nainjoy majibu yako! naona wauliza maswali wameshakukimbia wamekuacha unatamba! Ndaga nkamu....

Hivi kuna nini chini ya kapeti? why ghafla baada ya Diamond kumpost Dr Mwaka ndo aanze kuandamwa hivi?
 
Le kubwa LA wazee kijana vijana limekumbana usokwa USO na le mdada katiri.
 
Sasa mbona ww unatukana jibu hoja hapa vipi
 

Attachments

  • 1450183314326.jpg
    48.1 KB · Views: 851
  • 1450183330860.jpg
    37 KB · Views: 803
Sasa mbona ww unatukana jibu hoja hapa vipi

- Kama kuna hoja muhimu in all this ni kwamba kaniongezea followers 2,000 which is good for my Social Media business, mengine ni wast of my time ok inaonekana huna kazi mkuu zaidi ya kuhangaika kwenye mitandao kutafuta habari za watu hahahah

le Mutuz
 

- Nimemuandika Masamaki wa TRA kuwa yupo rumande na sijawahi hata kumuona hahaha mbona huna hoja

le Mutuz
 

- Well, ninaamini leo atayamaliza mwenyewe huko Wizarani I can only talk of what I know, that I work for him that is it

le Mutuz
 
Asante Le Mutuz nainjoy majibu yako! naona wauliza maswali wameshakukimbia wamekuacha unatamba! Ndaga nkamu....

Hivi kuna nini chini ya kapeti? why ghafla baada ya Diamond kumpost Dr Mwaka ndo aanze kuandamwa hivi?

- hahahaha baada ya kujitangaza kwa Diamond alikuwa anaua soko la Magonjwa ya Wanawake kwa wengine, mkuu kweli unafikiri inahitaji PhD hii, umeona Mange anawatajia watu madaktari wa kwenda kusudi wasiende kwa Dr. Mwaka mpaka hapo hujaelewa tu kwamba kuna nini nyuma ya hii ishu?

le Mutuz
 

kwani ww hapa uko wapi si Mtandaoni Mkuu or? Hapa sisi hatuongelei mambo ya Followers mbona unachanganya Mambo Mkuu
 
kwani ww hapa uko wapi si Mtandaoni Mkuu or? Hapa sisi hatuongelei mambo ya Followers mbona unachanganya Mambo Mkuu

- Sijawahi kuchanganya mambo ndio maana hapa ninapoandika I make money je na wewe unafanya hivyo au unaandika for fun?

le Mutuz
 
Danya unapoteza nguvu zako tu...huyo zemburura huwezi muelewa hata siku moha mzee wa facts za kijinga..

- Ni kawaida ya mjinga kuamini wengine wote ni wajinga kama yeye na the worst hujiesma mwenyewe bila kuulizwa kwamba ni mburulazzz hahahahahaha

le Mutuz
 
- Sijawahi kuchanganya mambo ndio maana hapa ninapoandika I make money je na wewe unafanya hivyo au unaandika for fun?

le Mutuz

Nilikuwa nakukubali lakini hili la kumtetea dr mwaka kisa una maslahi binafsi nimekushusha!
Kuchezea afya za watu si kitu cha kufanyia mzaha,mamlaka na dr mwaka watuweke wazi kama kuna uhalali otherwise sheria ichukue mkondo wake bila kujali umaarufu mjini!na dawa zake zimefanyiwa utafiti?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…