- I am businessman ninajali kelele zake zimeningizia pesa ngapi, sio mengine ya ujinga I am a Capitalist anything and any situation kwangu ni about making money!!
le Mutuz
Nilikuwa nakukubali lakini hili la kumtetea dr mwaka kisa una maslahi binafsi nimekushusha!
Kuchezea afya za watu si kitu cha kufanyia mzaha,mamlaka na dr mwaka watuweke wazi kama kuna uhalali otherwise sheria ichukue mkondo wake bila kujali umaarufu mjini!na dawa zake zimefanyiwa utafiti?
kwahyo wewe hata ukikosolewa kisingizio chako you are making money,hata majambazi,makahaba,wezi mafisadi wote wanatengeneza pesa tena pengine zaidi yako,lakini hilo halihalalishi vitendo vyao.Mara nyengine nibusara kunyamaza tu mambo yakapita.a.k.a kufunika kombe
We are dealing with two mentally unstable people here. This case is very interesting.....
We are dealing with two mentally unstable people here. This case is very interesting.....
kwahyo wewe hata ukikosolewa kisingizio chako you are making money,hata majambazi,makahaba,wezi mafisadi wote wanatengeneza pesa tena pengine zaidi yako,lakini hilo halihalalishi vitendo vyao.Mara nyengine nibusara kunyamaza tu mambo yakapita.a.k.a kufunika kombe
hujamuelewa huyo bonge nyanya? anamaanisha huyo dr.mwaka amempa pesa za kuja kumtetea huku,,, anavyomtetea yuko kazini
Uko sahihi kabisa Mkuu
- And supposedly you are stable mentally and here you are arguing with unstable? hahaha
le Mutuz
le Mutuz
Capitalist..
Kweee kweeeeee
Uyu let mutuz miye aliniblock instagram hapendi challenge yeye kila afanyalo akaitaji makofi sasa akikutana na challenge huwa anapanic
Mwambieni hii inchi sasa haitaji ujanja ujanja
Sometimes i find my mind to be unstable too, so i learned some self control. I don't know where you draw your strength from, but you can surely learn to control your mind. Upon close analysis of the mind you can learn how illusive it is. Learn to distance yourself from it, and look at it dispassionately
Utakuja kushikishwa ukuta na kupumuliwa kisogoni mkuu na u capitalist wako wa kujali hela kwanza mengine baadae- I am businessman ninajali kelele zake zimeningizia pesa ngapi, sio mengine ya ujinga I am a Capitalist anything and any situation kwangu ni about making money!!
le Mutuz
- Eti umekosoa nini hapa zaidi tu ya kuandika utumbo, what is your point hapa? Dr. MWaka amehukumiwa na Mahakama gani mpaka nimchukie kwamba sio mkweli? Wewe ndiye unatakiwa kutumia busara unyamaze
-le Mutuz
Le mutuz alini block instagram kwakuwa nilikuwa naipa makavu CCM... na digree zake hata zingekuwa 70... kama hataki kushindwa au kushinda kwa hoja basi ni mjinga tu milele
Utakuja kushikishwa ukuta na kupumuliwa kisogoni mkuu na u capitalist wako wa kujali hela kwanza mengine baadae
- Thank you the words in red tells it all, pole sana!!
le Mutuz