Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Madongo yake yote hua anayapata....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
doooohhhmange hana mkopo kilaaaza yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
Umejiandaa lakini?! uko tayari kupokea matusi yake? maana nikisoma vitu vyake huwa naona amewatukana watu matusi ambayo yako uchi kabisa hayana hata skin tightmange hana mkopo kilaaaza yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
atanichamba mara ngapi? rita mlaki shangazi yangu etiUmejiandaa lakini?! uko tayari kupokea matusi yake? maana nikisoma vitu vyake huwa naona amewatukana watu matusi ambayo yako uchi kabisa hayana hata skin tight
alaa kumbe😉atanichamba mara ngapi? rita mlaki shangazi yangu eti
alete vyeti vyake toka kuzaliwa hadi elimu yake ya juuUmejiandaa lakini?! uko tayari kupokea matusi yake? maana nikisoma vitu vyake huwa naona amewatukana watu matusi ambayo yako uchi kabisa hayana hata skin tight
doooh, nakuonea huruma tu akikuta hii coment yako...!mange hana mkopo kilaaaza yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
ASEME ALIPEWA MKOPO KUSOMA CHUO GANIdoooh, nakuonea huruma tu akikuta hii coment yako...!
Majibu yake, sijawahi kuona
Miss Natafuta, mdogo wangu... achana na Mange!ASEME ALIPEWA MKOPO KUSOMA CHUO GANI
Hii comment yetu mbona imekosa mahusiano na mada letwa/husika!!!Mtalipa tu, na namba mtaisoma maana mliambiwa mchague elimu bure kindaguten impaka chuo kikuu mkaona bure msingi na secondary! Walioimba wana imani na ruhusu mkawaona wansigiza ns hamnazo! Ngapi hiyoo mzee Kyle kijijini ,,sijui paaaa...soma ...paaa...in mbili.kumbe unaweza soma namba hata bila miwani! Nyambafu!
Mkuu vipi, KakaKiiza anasemaje? Nakumbuka ile mikwara yako hahaha.Yupo ila naona anaingia mara chache,ndiye alinifanya niijue jf 2007,
nilikuwa nagoogle kitu fulani ikatokea search mange vs ted kalenga,mjadala mkali kwelikweli,
ndo nikaifahamu jf,toka sikuhiyo sijacha kuingia jf mpaka leo
Halafu bora matusi basi huwa anakwenda mbali zaidi ya hapo ,anatafuta details zako zote unashangaa anaweka picha ya marehemu dada ya mwaka 90Umejiandaa lakini?! uko tayari kupokea matusi yake? maana nikisoma vitu vyake huwa naona amewatukana watu matusi ambayo yako uchi kabisa hayana hata skin tight
Kumbe wewe ndio nduguye kichwa panziana masters ya instagram posts management
Aisee ni hatari sana ni bora kumkwepa inapowezakana ili asikukarahishe! Mie mwoga sana wa kutukanwaHalafu bora matusi basi huwa anakwenda mbali zaidi ya hapo ,anatafuta details zako zote unashangaa anaweka picha ya marehemu dada ya mwaka 90