Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange Kimambi yumo humu JF....

Alisoma visual nini sijui , hicho kitengo kilikua chini ya computer science ,ila aliishi mabibo alikuwa na kigari hivi , ila alikuwa Matawi ya juu , ukilinganisha na sisi kina kaluma nzila . Hakugombania shuttle kama wengine kina kayumba walioiishi mabibo

Victoria umepatia...kulikua kuna kakitengo fulani hivi pale Faculty of Science kanahusu kitu kinaitwa "Virtual Learning" na mkuu wake alikua professor mmoja hivi wa Engineering alikua anaitwa Prof BMM Mwinyiwiwa...

Hicho kiprogram kilikua hakichukui waliofaulu form six,walikua wanachukua waliofeli na vi form four failure ni kama Mature Entry hivi na sidhani kama kulikua na kitu "degree" kwenye hiyo kitu...

Yaani huyu dada ni kilaaaza halafu mbwembweee,I really doubt ukweli wa anayosema[emoji23]
 
WEWE NSDO UN MASHAKA NA TAARIFA ZAKO
ALISOMA UDSM IPI?
Sawa mkuu lakini mimi nimeleta taarifa ambazo ninazo siku nyingi. AVU na sikuhizi CVL chini ya Idara ya Computer Science zamani au siku hizi chini ya COET pale UDSM wamewahi kutoa Degree , Diploma na Certificate. Wenye taarifa zaidi watujuze hasa wale classmate wake.
 
Victoria umepatia...kulikua kuna kakitengo fulani hivi pale Faculty of Science kanahusu kitu kinaitwa "Virtual Learning" na mkuu wake alikua professor mmoja hivi wa Engineering alikua anaitwa Prof BMM Mwinyiwiwa...

Hicho kiprogram kilikua hakichukui waliofaulu form six,walikua wanachukua waliofeli na vi form four failure ni kama Mature Entry hivi na sidhani kama kulikua na kitu "degree" kwenye hiyo kitu...

Yaani huyu dada ni kilaaaza halafu mbwembweee,I really doubt ukweli wa anayosema[emoji23]
Wafuasi wake wanavyomwona ana akili sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MANGE KIMAMBI ndo yule aliyeshindwa urais na Trump?
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Hivi Mange akusoma UDSM? Mimi sijui au ni wewe haujui? Tena LLB.
Embu njoo unihakikishie kuwa ameishia darasa la 7.

Mkuu LLB si mchezo....

Angekua amesoma LLB UDSM au popote huko insta sidhani kama kuna yeyote angepumua...

Imagine angekua na degree yeyote ya UDSM,just imagine angeongea sijui mpaka wapi...

Ku-prove kua UDSM hakusoma lolote,ndio maana hua haongelei chochote,hua anakwepa,anagusa kwa mbali sana....

Nadhani atakua na tatizo kubwa sana la kusema uongo,Im sure...anachokisema sio cha kuamini,hasa ambavyo anajisifia sio vya kuamini
 
Sawa mkuu lakini mimi nimeleta taarifa ambazo ninazo siku nyingi. AVU na sikuhizi CVU chini ya Idara ya Computer Science zamani au siku hizi chini ya COET pale UDSM wamewahi kutoa Degree , Diploma na Certificate. Wenye taarifa zaidi watujuze hasa wale classmate wake.
Degreeeh? hapana bwana walikuwa hawatowi degree
 
mmoja wetu awe kule insta atuletee majibu atayotoa Mage maana hawez kujibu hapa na nyie mnaomnanga mjiandae kisailojia
 
Degreeeh? hapana bwana walikuwa hawatowi degree

AVU kipindi kile walikua hawatoi degree,ile 2002,2003,..kulikua hakuna degree mkuu...maana intake zao zilikua za watu duni mno,mtu wa form four tena mwenye failure alikua anazama AVU.

Sasa hivi huwenda wakawa wanatoa degree,labda
 
Victoria umepatia...kulikua kuna kakitengo fulani hivi pale Faculty of Science kanahusu kitu kinaitwa "Virtual Learning" na mkuu wake alikua professor mmoja hivi wa Engineering alikua anaitwa Prof BMM Mwinyiwiwa...

Hicho kiprogram kilikua hakichukui waliofaulu form six,walikua wanachukua waliofeli na vi form four failure ni kama Mature Entry hivi na sidhani kama kulikua na kitu "degree" kwenye hiyo kitu...

Yaani huyu dada ni kilaaaza halafu mbwembweee,I really doubt ukweli wa anayosema[emoji23]
Sema tu group lake lilikua la akina irene kiwia , loveness wale ndo walikuwa wanasomea degree . Ila Mange hana degree.labda hiyo MSc in bussiness administration , aliosomea Dubai
 
Sema tu group lake lilikua la akina irene kiwia , loveness wale ndo walikuwa wanasomea degree . Ila Mange hana degree.labda hiyo MSc in bussiness administration , aliosomea Dubai

U are correct...hao uliowataja akina irene waliendelea hadi Masters pale pale....

Sipati picha angekua na degree yoyote UDSM iliyosimama wima whether ni LLB au yoyote huko Insta pangewaka moto aisee

Ila hakuna ndio maana mostly anazungumzia hizo degree fix za Dubai...na hii anaongelea "kila siku" na sidhani kama ataacha anytime soon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Degreeeh? hapana bwana walikuwa hawatowi degree
Nisingependa kuwataja majina humu classmate wangu elimu ya chini ya University ambao wamepata degree ya BSc Computer Science chini ya AVU-African Virtual University wakati huo inafadhiliwa kama sikosei chini ya wadenish kwa ushirika na Department of Computer Science back then 2002. Ila watu wa Diploma na Certificates walikuwa wengi. hata Mwaka 2011 au 2012 kulikuwa na rafiki yangu na classmate wangu alikuwa anasoma degree ya mambo ya ICT wakati huu kozi hii ilikuwa wanashirikiana na chuo kikuu flani cha India palepale UDSM kitengo cha CVL-Centre for Virtual learning ambayo zamani iliyoiitwa AVU.
 
Nisingependa kuwataja majina humu classmate wangu elimu ya chininya University ambao wamepata degree ya BSc Computer Science chini ya AVU-African Virtual University wakati huo inafadhiliwa chini ya wadenish nadhani. Ila watu wa Diploma na Certificates walikuwa wengi. hata Mwaka 2011 au 2012 kulikuwa na rafiki yangu na classmate wangu alikuwa anasoma degree ya mambo ya ICT wakati huu kozi hii ilikuwa wanashirikiana na chuo kikuu flani cha India palepale CVL-Centre for Virtual learning ambayo zamani iliyoiitwa AVU.

Unaweza ukawa sahihi mkuu...ila kiukweli hao wa Diploma na Certificate nadhani walikua ndio 95% yao..

Hao wa degree walikua wachache sana

Kwa UDSM aisee AVU ilikua hoi bin majanga,waliokua wanasoma humo ni Form Four leavers mkuu,na walikua wachovu mpaka wanatia huruma
 
Back
Top Bottom