Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange Kimambi yumo humu JF....

mange hana mkopo kilaaaza yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
Nina mashaka na chanzo chako cha taarifa. Mange Kimambi amesoma UDSM kiwango cha shahada ya kwanza(Bachelor degree) miaka 2002 hadi 2006 hapo katikati. Kuna watu wamesoma nae humu watakuja kutuambia exactly alisoma lini na kozi gani kwa miaka mingapi.
 
baba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora

Hivi Mange akusoma UDSM? Mimi sijui au ni wewe haujui? Tena LLB.
Embu njoo unihakikishie kuwa ameishia darasa la 7.
 
Ndugu achana na mange aka kimavi atakuja kukuosha ushindwe kurudi tena jf
lakin mage kaongea ukwel fulan hvi lazima nao bodi waandamane kidogo na polisi wawafurumishie mibomu kama tulivyokuwa tunaandama kudai pesa
 
Nina mashaka na chanzo chako cha taarifa. Mange Kimambi amesoma UDSM kiwango cha shahada ya kwanza(Bachelor degree) miaka 2002 hadi 2006 hapo katikati. Kuna watu wamesoma nae humu watakuja kutuambia exactly alisoma lini na kozi gani kwa miaka mingapi.
Hivi Mange akusoma UDSM? Mimi sijui au ni wewe haujui? Tena LLB.
Embu njoo unihakikishie kuwa ameishia darasa la 7.
WEEE AHAHAAA ALIKUWA ANASOMA COMPUTER COURSE ACHENI UJINGA
 
Nina mashaka na chanzo chako cha taarifa. Mange Kimambi amesoma UDSM kiwango cha shahada ya kwanza(Bachelor degree) miaka 2002 hadi 2006 hapo katikati. Kuna watu wamesoma nae humu watakuja kutuambia exactly alisoma lini na kozi gani kwa miaka mingapi.
WEWE NSDO UN MASHAKA NA TAARIFA ZAKO
ALISOMA UDSM IPI?
 
Alisoma visual nini sijui , hicho kitengo kilikua chini ya computer science ,ila aliishi mabibo alikuwa na kigari hivi , ila alikuwa Matawi ya juu , ukilinganisha na sisi kina kaluma nzila . Hakugombania shuttle kama wengine kina kayumba walioiishi mabibo
 
lakin mage kaongea ukwel fulan hvi lazima nao bodi waandamane kidogo na polisi wawafurumishie mibomu kama tulivyokuwa tunaandama kudai pesa
Kaongea ukweli gani hapo ye ka screenshot tu...au hujaelewa hiyo picha...
 
Yaani wadada wa mjini siku Hizi siasa wanajifunzia Kwa Mange..

Anachosema Mange ni sahihi kwao... Mange awashike wajinga wenzake huko Insta Lakini sio huku...

Kuolewa na mzungu ndio kaona ameshamaliza kila kitu..

Kananikeraga kweli
 
9e260cb78016a276bd98a6426ac10b1b.jpg

Madongo yake yote hua anayapata....
'Amechanganyikiwa huyu'
 
Hivi Mange akusoma UDSM? Mimi sijui au ni wewe haujui? Tena LLB.
Embu njoo unihakikishie kuwa ameishia darasa la 7.

Hahaaa...alisoma UCC na kuna kitu flani faculty ya Science pale kilikua kinaitwa "Virtual Learning",huyu mwehu ndio alikua anajisomea,alivyo na makeke akanunua chumba mabibo hosteli nae aonekane mwenyeji...

All of these alikuja ku-disco mbaya akapotelea...yule hajawahi faulu lasaba,olevel au alevel,kote kafeli tu...

Nadhani wazazi wake walimzungusha visekondari vya zimbabwe au somewhere,ila mfeliji mzoefu.....hahhahaaaa
 
Back
Top Bottom