Mange Kimambi yumo humu JF....

Mtalipa tu, na namba mtaisoma maana mliambiwa mchague elimu bure kindaguten impaka chuo kikuu mkaona bure msingi na secondary! Walioimba wana imani na ruhusu mkawaona wansigiza ns hamnazo! Ngapi hiyoo mzee Kyle kijijini ,,sijui paaaa...soma ...paaa...in mbili.kumbe unaweza soma namba hata bila miwani! Nyambafu!
 
Hii comment yetu mbona imekosa mahusiano na mada letwa/husika!!!
 
Yupo ila naona anaingia mara chache,ndiye alinifanya niijue jf 2007,
nilikuwa nagoogle kitu fulani ikatokea search mange vs ted kalenga,mjadala mkali kwelikweli,
ndo nikaifahamu jf,toka sikuhiyo sijacha kuingia jf mpaka leo
Mkuu vipi, KakaKiiza anasemaje? Nakumbuka ile mikwara yako hahaha.
 
Umejiandaa lakini?! uko tayari kupokea matusi yake? maana nikisoma vitu vyake huwa naona amewatukana watu matusi ambayo yako uchi kabisa hayana hata skin tight
Halafu bora matusi basi huwa anakwenda mbali zaidi ya hapo ,anatafuta details zako zote unashangaa anaweka picha ya marehemu dada ya mwaka 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…